Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨Kuna simu zipo duniani 🔥🔥

POVA Curve 5G🥶
︎ Teknolojia

💨 Samsung Galaxy S25 Ultra

▪️ RAM: 12GB
▪️ Storage: 256GB
▪️ Camera: 200MP Quad Pro Camera
▪️ Display: 6.8" Dynamic AMOLED 2X, 120Hz
▪️ Battery: 5000mAh + 45W Fast Charging
▪️ Processor: Snapdragon 8 Gen 4

💰 Price: 2.85M

📍 Kariakoo – Likoma Street, KKKT
📍 Samaki Roundabout – Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745 100 757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Mchina hajawahi taka amani
Honor Magic V3 wameamua kumjibu Samsung s25 edge
Je, AI zitachukua nafasi ya Search Engine?

Hizi ni data za kuonyesha ukubwa wa AI na Search Engine kwa kipindi cha miezi 24 iliyopita

Chanzo: Semrush
Bluesky imeanza kuruhusu watumiaji wake kuunganisha LIVE za YouTube, Twitch na mitandao mingine.

Hii itaisaidia Bluesky kushindana na mitandao mingine kwa kuwaitiano mtandao ambao unaruhusu Live Stream za mitandao mingine.

Imeanza ushirikiano na ligi za NBA na creators wachache
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨 Hey Njiwa! I'm Njiwa, karibu kwenye kiota changu nimechoka, tuungane na No reform, No Kutuma salamu mpaka tuongeze Vinjiwa vingine tuwe wengi wengi 🥲
@Huduma

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

𝗠𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗶𝗯𝗶𝘄𝗮 𝗚𝗮𝗿𝗶 𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗨𝗶𝗻𝗴𝗲𝗿𝗲𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗼𝗻𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

Kuna stori ina trend sana mtandaoni kuhusu kupotea kwa Gari aina ya Range Rover toka uingereza na kuonekana Tanzania!.

Threads ni yako 💡💡
︎ Teknolojia

Aliapoamua kuifuatilia baada ya kufunga Air tags , ni Teknolojia inayosaidia kujua location ya mali yako iliyopotea ikiwa umeifunga icho kifaa ndani yake. Anasema wakati anaibiwa Air Tags ilipotea hewani lakini baadae ikarudi.
@Huduma

𝐇𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐣𝐢𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐢𝐞𝐧𝐝𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐠𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐨𝐟𝐢𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 Sio gari Tena maana kofia hiyo alipewa na baba yake aliacha kiti cha nyuma inaitwa M44 Ikiwa na size ukubwa wa 9.
@Huduma

Ndipo akaliona gari lake linasafirishwa kupitia mferejo wa Suez canal na kuingia Nchini Tanzania kupitia kifaa cha apple Tag alichokificha kwenye gari lake. Sasa kila siku anaiona kwenye eneo Fulani Tanzania na inaendeshwa kila siku.
@Huduma

Baada ya ku posti makala yake kupitia mtandao wa Facebook aliweza kupata mahojiano na vituo vikubwa viwili vya redio na majarida mbalimbali ya habari ambayo yaliweza kuchapisha "Driver track stolen Car through Suez To Tanzania".

Angalia picha chini zaidi
︎ Teknolojia

Taarifa zake ziliweza mpaka kuchapishwa kwenye magazeti mbalimbali nchini Uingereza 🏃‍♂️🏃‍♂️