Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5. Weka Email Backup Salama na Secure Password
→ Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
→ Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
10. Update App Mara kwa Mara
→ Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
→ Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
3. Usihifadhi Password Browser Bila Ku-encrypt
→ Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
→ Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
8. Usitoe Number au Code Yoyote Unayotumiwa kwa DM
→ Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
→ No one from X will DM you asking for codes.
1. Tumia Strong Password isiyodhaniwa Kirahisi
→ Acha kutumia majina, tarehe ya kuzaliwa au namba zako.
→ Tumia mix ya herufi kubwa, ndogo, namba na symbols.
Mfano mzuri: Z!mA@2024Tw#
6. Ondoa Access za App Zisizojulikana
→ Settings > Security > Apps and sessions
→ Ondoa access za apps hujazisajili au unazotumia tena.
Zingine hutumiwa kuiba token zako kwa siri.
2. Weka 2FA (Two-Factor Authentication)
→ Ingia Settings > Security > Two-Factor Authentication
→ Chagua “Authentication App” kama Google Authenticator au Authy.
Usitumie SMS 2FA pekee – inaweza kuwa spoofed au intercepted.
7. Epuka kutumia Public Wi-Fi bila VPN
→ Public Wi-Fi inaweza kuwa “trap” ya hackers kusniff credentials zako.
→ Tumia VPN kama ProtonVPN, NordVPN nk.
9. Angalia Devices Zilizopo Logged In
→ Settings > Account > Sessions
→ Toa any unrecognized device.
→ Kumbuka: unaweza pia kulog out zote instantly.


4. Usibonye Link za Ajabu Ajabu (Phishing)
→ Links kama twltter-login.help au support-x.profiles ni mtego!
→ Wanaiba login info zako kwa ujanja – ignore au report.
💭 Umewaza nini kuhusu mtu kuwa na uwezo wa Kubadilisha Taka za plastiki kuwa Matofali (bricks) 🧱

Vipi hii Teknolojia ikija nchini Tanzania?? 🇹🇿🇹🇿

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa Maujanja zaidi 💡
💭 Hii sio tu inasaidia kupunguza uchafuzi wa plastiki lakini pia hutoa suluhisho endelevu na la bei nafuu kwa ujenzi.
💭 Mjasiriamali mmoja toka nchini Kenya ameanzisha Kampuni yake kubwa inayowezesha kugeuza taka taka za Plastiki kuwa matofali ya ujenzi yenye nguvu na rafiki kwa mazingira.

💭 Matofali haya yamejaribiwa na kuonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko saruji ya kawaida.
︎ Teknolojia

𝗠𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗠𝗸𝗲𝗻𝘆𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝘁𝗮𝗸𝗮 𝘇𝗮 𝗽𝗹𝗮𝘀𝘁𝗶𝗸𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘁𝗼𝗳𝗮𝗹𝗶

💡 Hakika Wa afrika tuko Vizuri umesikia kuhusu mdada mmoja toka kenya aliyefanya mapinduzi ya kipekee kwenye Teknolojia aiseeh!!.

Threads ni yako 😬😬
💭 Pia Kwa kushughulikia masuala ya mazingira na makazi, uanzishaji huu unaonyesha jinsi teknolojia ya kijani kibichi (green technology ) inaweza kuleta athari za ulimwengu halisi na kuleta mabadiliko.
😬 𝗜𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗩𝗶𝗽𝗶 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗵𝗶𝘃𝘆𝗼!!!

💭 Mchakato mzima unahusisha kukusanya taka taka za plastiki, kisha kuzipasha Moto halafu unazichanganya na mchanga ili kuweza kutengeneza Matofali imara na ya kudumu.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ila Kenya wako na kanamna kao bhana 😂😂
︎ Teknolojia

💨Kuna simu zipo duniani 🔥🔥

POVA Curve 5G🥶
︎ Teknolojia

💨 Samsung Galaxy S25 Ultra

▪️ RAM: 12GB
▪️ Storage: 256GB
▪️ Camera: 200MP Quad Pro Camera
▪️ Display: 6.8" Dynamic AMOLED 2X, 120Hz
▪️ Battery: 5000mAh + 45W Fast Charging
▪️ Processor: Snapdragon 8 Gen 4

💰 Price: 2.85M

📍 Kariakoo – Likoma Street, KKKT
📍 Samaki Roundabout – Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745 100 757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Mchina hajawahi taka amani
Honor Magic V3 wameamua kumjibu Samsung s25 edge