Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จMfano hawa wote wakawekeza kutengeneza simu moja... camera ๐Ÿฅถ๐Ÿ“ธ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKampuni ya Amazon kwa sasa wanamekuja na njia ya kutumia drones kufanya delivery kwa wateja wa iphone na Galaxy.

Hii gharama yake ni $4.99

Hii ni kwa taifa la Marekani pekee.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Chopa! hizi hesabu zinavyopigwa hapa na namna hawa jamaa wanavyoweza kucheza na muda kwenye kupangilia matukio yao ni akili kubwa inatumika hapa.

Binafsi bado naamini CDM itabaki kuwa ni imani.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ XIAOMI REDMI (Brand new) ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธRedmi A5 (3+64) - 250K
โ–ช๏ธRedmi A5 (4+128) - 280K
โ–ช๏ธRedmi 14C (4+128) - 300K
โ–ช๏ธRedmi 14C (8+256) - 350K
โ–ช๏ธNote 13 (6+128) - 450K
โ–ช๏ธNote 13 (8+256) - 530K
โ–ช๏ธNote 13 Pro 4G (8+256) - 650K
โ–ช๏ธNote 13 Pro 5G (8+256) - 780K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
โ–ช๏ธNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (6+128) - 480K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 (8+256) - 580K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 5G (8+256) - 750K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
โ–ช๏ธRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
5. Weka Email Backup Salama na Secure Password
โ†’ Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
โ†’ Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
10. Update App Mara kwa Mara
โ†’ Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
โ†’ Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
3. Usihifadhi Password Browser Bila Ku-encrypt
โ†’ Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
โ†’ Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
8. Usitoe Number au Code Yoyote Unayotumiwa kwa DM
โ†’ Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
โ†’ No one from X will DM you asking for codes.
1. Tumia Strong Password isiyodhaniwa Kirahisi
โ†’ Acha kutumia majina, tarehe ya kuzaliwa au namba zako.
โ†’ Tumia mix ya herufi kubwa, ndogo, namba na symbols.
Mfano mzuri: Z!mA@2024Tw#
6. Ondoa Access za App Zisizojulikana
โ†’ Settings > Security > Apps and sessions
โ†’ Ondoa access za apps hujazisajili au unazotumia tena.
Zingine hutumiwa kuiba token zako kwa siri.
2. Weka 2FA (Two-Factor Authentication)
โ†’ Ingia Settings > Security > Two-Factor Authentication
โ†’ Chagua โ€œAuthentication Appโ€ kama Google Authenticator au Authy.
Usitumie SMS 2FA pekee โ€“ inaweza kuwa spoofed au intercepted.
7. Epuka kutumia Public Wi-Fi bila VPN
โ†’ Public Wi-Fi inaweza kuwa โ€œtrapโ€ ya hackers kusniff credentials zako.
โ†’ Tumia VPN kama ProtonVPN, NordVPN nk.
9. Angalia Devices Zilizopo Logged In
โ†’ Settings > Account > Sessions
โ†’ Toa any unrecognized device.
โ†’ Kumbuka: unaweza pia kulog out zote instantly.
โ€Œ

4. Usibonye Link za Ajabu Ajabu (Phishing)
โ†’ Links kama twltter-login.help au support-x.profiles ni mtego!
โ†’ Wanaiba login info zako kwa ujanja โ€“ ignore au report.
๐Ÿ’ญ Umewaza nini kuhusu mtu kuwa na uwezo wa Kubadilisha Taka za plastiki kuwa Matofali (bricks) ๐Ÿงฑ

Vipi hii Teknolojia ikija nchini Tanzania?? ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa Maujanja zaidi ๐Ÿ’ก
๐Ÿ’ญ Hii sio tu inasaidia kupunguza uchafuzi wa plastiki lakini pia hutoa suluhisho endelevu na la bei nafuu kwa ujenzi.
๐Ÿ’ญ Mjasiriamali mmoja toka nchini Kenya ameanzisha Kampuni yake kubwa inayowezesha kugeuza taka taka za Plastiki kuwa matofali ya ujenzi yenye nguvu na rafiki kwa mazingira.

๐Ÿ’ญ Matofali haya yamejaribiwa na kuonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko saruji ya kawaida.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐— ๐—ธ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐—น๐—ถ

๐Ÿ’ก Hakika Wa afrika tuko Vizuri umesikia kuhusu mdada mmoja toka kenya aliyefanya mapinduzi ya kipekee kwenye Teknolojia aiseeh!!.

Threads ni yako ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
๐Ÿ’ญ Pia Kwa kushughulikia masuala ya mazingira na makazi, uanzishaji huu unaonyesha jinsi teknolojia ya kijani kibichi (green technology ) inaweza kuleta athari za ulimwengu halisi na kuleta mabadiliko.
๐Ÿ˜ฌ ๐—œ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ!!!

๐Ÿ’ญ Mchakato mzima unahusisha kukusanya taka taka za plastiki, kisha kuzipasha Moto halafu unazichanganya na mchanga ili kuweza kutengeneza Matofali imara na ya kudumu.