Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จAsante kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunazidi kukufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
2. Brightness & Colours
Original display ina brightness kali, contrast nzuri, na rangi halisi.
โ†’ Fake screen mara nyingi ina mwanga mdogo au rangi zilizofifia.
3. Viewing Angle
โ†’ Geuza simu pembeni, angalia kama picha inabadilika au kuwa blur.
Original huonyesha rangi vizuri hata kwa angle yoyote.
Fake hukosa clarity pembeni.
8. Imebadilishwa Bila Kujua?
โ†’ Angalia edges za screen โ€“ kama kuna tofauti kwenye glue, gap au dust, inaweza kuwa fake replacement.

โ†’ Mara nyingi mafundi wasiowaaminifu hubadilisha screen na kuuza original yako.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO KAMA SCREEN YAKO NI ORIGINAL AU FAKE.

Soma hadi mwisho ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau ๐Ÿ”„
7. Bei ya Kubadilisha Ilikuwaje?
โ†’ Kama uliambiwa ni original screen lakini bei ni ya chini sana โ€“ jua huenda uliwekewa fake.

Original screens ni ghali kwa sababu ya quality na durability.
4. Fingerprint Sensor Issues
Kama fingerprint haifanyi kazi vizuri baada ya kubadilisha screen,

โ†’ Huenda waliweka screen isiyo ya kiwango (low-quality copy).
9. Bonus Tip: Jua Screen ya Simu Yako Mapema
โ†’ Kabla ya kuharibika, google model yako + โ€œdisplay typeโ€ (mf. AMOLED, IPS).

โ†’ Hii itakusaidia ukijua wanakudanganya au la.
1. Touch Sensitivity
Screen fake huwa na delay au inahitaji nguvu zaidi kubonyeza.
โ†’ Jaribu kuandika haraka au kupiga swipe โ€“ kama iko slow au inakosea, hiyo ni red flag.
5. Hakiki Kwa App
Tumia apps kama Device Info HW au Phone Info kuangalia screen model & type.

โ†’ Kama info haionekani au iko tofauti na original spec, hiyo ni copy.
6. Gorilla Glass? Jaribu Scratch Test Ndogo

โ†’ Original screen mara nyingi ina Gorilla Glass au glass ngumu.

โ†’ Fake hupata mikwaruzo kirahisi โ€“ unaweza kujaribu kwa kitu butu (usitumie chuma).
๐Ÿ’จ Account ya @SimbaSCTanzania nayo iko hacked baada ya ile ya police
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKampuni ya Tecno wametengaza ujio wa product yao mpya.
Tecno Megabook S6 yenye features za Ai smart.
Tecno Megabook S6 inakuja na screen yenye inch 16.
๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ OFFER SAMSUNG A SERIES

โ–ช๏ธA05 (4+64) - 250K
โ–ช๏ธA06 (4+128) - 330K
โ–ช๏ธA05s (4+128) - 350K
โ–ช๏ธA16 (4+128) -450K
โ–ช๏ธA26 5G (6+128) - 680K
โ–ช๏ธA36 5G (6+128) - 900K
โ–ช๏ธA56 5G (8+128) - 1M

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
๐Ÿ’ญ Airtel imeamua kuchukua Hatua za awali kwa kuzifunga. Akaunti zao za mitandao ya kijamii ili kuepusha usambazaji zaidi wa taarifa hizo za Uongo zenye lengo la kuipotosha Jamii na kuleta Taharuki.
๐Ÿ’ญ Airtel imesema inawaomba wateja wao waendele kuwafuatilia kupitia mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na LinkedIn pekee.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

" Airtel Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa akaunti za mitandao ya kijamii za Airtel Tanzania za Twitter maarufu X na You Tube zimedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza machapisho ya taarifa za upotoshaji hivyo zinapaswa kupuuzwa."
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ญ Mitandao ya kijamii ya Airtel Tanzania kuanzia YouTube na mtandao wa X umedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza taarifa za uongo kuhusu Airtel nchini Tanzania.

โšก Airtel waliweza kutoa taarifa hiyo kupitia akaunti ya Instagram wakisema ;๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ญ Aidha uongozi wa Airtel Tanzania umetoa taarifa kwa mamlaka husika ili kuchunguza kwa ukaribu chanzo cha machapisho hayo na kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐˜๐—ฒ๐—น ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ

๐Ÿ’ญ Katika matukio ya kushangaza yanayoendelea nchini Tanzania kuhusu Usalama wa mitandaoni baada ya Kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania Airtel kudukuliwa.

Threads ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡