Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 420K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Asante kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunazidi kukufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
2. Brightness & Colours
Original display ina brightness kali, contrast nzuri, na rangi halisi.
β†’ Fake screen mara nyingi ina mwanga mdogo au rangi zilizofifia.
3. Viewing Angle
β†’ Geuza simu pembeni, angalia kama picha inabadilika au kuwa blur.
Original huonyesha rangi vizuri hata kwa angle yoyote.
Fake hukosa clarity pembeni.
8. Imebadilishwa Bila Kujua?
β†’ Angalia edges za screen – kama kuna tofauti kwenye glue, gap au dust, inaweza kuwa fake replacement.

β†’ Mara nyingi mafundi wasiowaaminifu hubadilisha screen na kuuza original yako.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO KAMA SCREEN YAKO NI ORIGINAL AU FAKE.

Soma hadi mwisho πŸ§΅πŸ‘‡

Usisahau πŸ”„
7. Bei ya Kubadilisha Ilikuwaje?
β†’ Kama uliambiwa ni original screen lakini bei ni ya chini sana – jua huenda uliwekewa fake.

Original screens ni ghali kwa sababu ya quality na durability.
4. Fingerprint Sensor Issues
Kama fingerprint haifanyi kazi vizuri baada ya kubadilisha screen,

β†’ Huenda waliweka screen isiyo ya kiwango (low-quality copy).
9. Bonus Tip: Jua Screen ya Simu Yako Mapema
β†’ Kabla ya kuharibika, google model yako + β€œdisplay type” (mf. AMOLED, IPS).

β†’ Hii itakusaidia ukijua wanakudanganya au la.
1. Touch Sensitivity
Screen fake huwa na delay au inahitaji nguvu zaidi kubonyeza.
β†’ Jaribu kuandika haraka au kupiga swipe – kama iko slow au inakosea, hiyo ni red flag.
5. Hakiki Kwa App
Tumia apps kama Device Info HW au Phone Info kuangalia screen model & type.

β†’ Kama info haionekani au iko tofauti na original spec, hiyo ni copy.
6. Gorilla Glass? Jaribu Scratch Test Ndogo

β†’ Original screen mara nyingi ina Gorilla Glass au glass ngumu.

β†’ Fake hupata mikwaruzo kirahisi – unaweza kujaribu kwa kitu butu (usitumie chuma).
πŸ’¨ Account ya @SimbaSCTanzania nayo iko hacked baada ya ile ya police
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kampuni ya Tecno wametengaza ujio wa product yao mpya.
Tecno Megabook S6 yenye features za Ai smart.
Tecno Megabook S6 inakuja na screen yenye inch 16.
πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
πŸ’­ Airtel imeamua kuchukua Hatua za awali kwa kuzifunga. Akaunti zao za mitandao ya kijamii ili kuepusha usambazaji zaidi wa taarifa hizo za Uongo zenye lengo la kuipotosha Jamii na kuleta Taharuki.
πŸ’­ Airtel imesema inawaomba wateja wao waendele kuwafuatilia kupitia mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na LinkedIn pekee.
γ€½οΈŽ Teknolojia

" Airtel Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa akaunti za mitandao ya kijamii za Airtel Tanzania za Twitter maarufu X na You Tube zimedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza machapisho ya taarifa za upotoshaji hivyo zinapaswa kupuuzwa."
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’­ Mitandao ya kijamii ya Airtel Tanzania kuanzia YouTube na mtandao wa X umedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza taarifa za uongo kuhusu Airtel nchini Tanzania.

⚑ Airtel waliweza kutoa taarifa hiyo kupitia akaunti ya Instagram wakisema ;πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’­ Aidha uongozi wa Airtel Tanzania umetoa taarifa kwa mamlaka husika ili kuchunguza kwa ukaribu chanzo cha machapisho hayo na kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika.