Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Bonus Tip:
Kwa Android, nenda Settings > Accounts > Google > Remove Account.
Kwa iPhone, nenda Settings > iCloud > Sign Out.

Usipofanya hivi, hata baada ya Reset, mtu mwingine ataweza kutumia simu yako!
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Je, Simu Yako Inaweza Kununuliwa Tena Bila Wewe Kujua?

Watu wengi huuza au kupoteza simu wakiamini wamefuta kila kitu... kumbe bado data zao zipo ndani.

ShukaπŸ§΅πŸ‘‡
UsisahauπŸ”„
Hatua sahihi kabla ya kuuza/kutoa simu:

Futa backup zote (Google/iCloud)

Ondoa account zote kwenye simu

Fanya Factory Reset

Toa SIM card & SD card

Hakikisha imeboot hadi mwanzo kama simu mpya
Kosa kubwa:
Kufanya Factory Reset bila kuondoa akaunti zako (Google au Apple ID).

Simu huonekana kama bado ni mali yako, lakini data zinaweza kurejeshwa kirahisi.
Na ukishasahau password, kila kitu kinafunguka!
Watu wengi huuza simu zao bila kujua
vibaka au wanunuzi wa mitumba wanaweza kuirejesha na kutuma:

Picha zako

Meseji

Backup zako za WhatsApp

Akaunti zako za Google/iCloud
Usikubali taarifa zako zifutwe juu juu tu.

Simu ikitoka mikononi mwako, hakikisha imekuwa tupu kama mpya.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Leo usiku nilijigonga kwenye angle ya jiko nikatapika sana nimeamka asubuhi jicho moja halifunguki hofu yangu kubwa nasikia ukiwa chongo husuhusiwi kuendesha Subaru Forester TX 2013 new model ya Japan moja kwa moja.
γ€½οΈŽ Teknolojia

Mungu ni mwema nimefika hospital nimewekewa maandishi makubwa, madogo na madogo zaidi niyasome kwa kutumia jicho hili lililo lizima automatic hili lenye jeraha nikafunguka lenyewe kwa namna fulani linaona ila blur kwa mbali.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Vivo S30 Pro mini ya moto sanaπŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Realme Neo 7 TurboπŸ₯ΆπŸ₯Ά
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JBL SPEAKER (OriginalπŸ’―)

β–ͺ️JBL Go 3 - 145K
β–ͺ️JBL Go 4 - 190K
β–ͺ️JBL Flip6 - 300K
β–ͺ️JBL Flip7 - 420K
β–ͺ️JBL Charger5 - 450K
β–ͺ️JBL Charger6 - 550K
β–ͺ️JBL XTRME3 - 700K
β–ͺ️JBL XTRME4 - 840K

πŸ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Asante kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunazidi kukufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
2. Brightness & Colours
Original display ina brightness kali, contrast nzuri, na rangi halisi.
β†’ Fake screen mara nyingi ina mwanga mdogo au rangi zilizofifia.
3. Viewing Angle
β†’ Geuza simu pembeni, angalia kama picha inabadilika au kuwa blur.
Original huonyesha rangi vizuri hata kwa angle yoyote.
Fake hukosa clarity pembeni.
8. Imebadilishwa Bila Kujua?
β†’ Angalia edges za screen – kama kuna tofauti kwenye glue, gap au dust, inaweza kuwa fake replacement.

β†’ Mara nyingi mafundi wasiowaaminifu hubadilisha screen na kuuza original yako.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO KAMA SCREEN YAKO NI ORIGINAL AU FAKE.

Soma hadi mwisho πŸ§΅πŸ‘‡

Usisahau πŸ”„
7. Bei ya Kubadilisha Ilikuwaje?
β†’ Kama uliambiwa ni original screen lakini bei ni ya chini sana – jua huenda uliwekewa fake.

Original screens ni ghali kwa sababu ya quality na durability.
4. Fingerprint Sensor Issues
Kama fingerprint haifanyi kazi vizuri baada ya kubadilisha screen,

β†’ Huenda waliweka screen isiyo ya kiwango (low-quality copy).
9. Bonus Tip: Jua Screen ya Simu Yako Mapema
β†’ Kabla ya kuharibika, google model yako + β€œdisplay type” (mf. AMOLED, IPS).

β†’ Hii itakusaidia ukijua wanakudanganya au la.
1. Touch Sensitivity
Screen fake huwa na delay au inahitaji nguvu zaidi kubonyeza.
β†’ Jaribu kuandika haraka au kupiga swipe – kama iko slow au inakosea, hiyo ni red flag.