8. Check Storage na RAM Usage
โ Simu ikisuasua, fungua:
Settings > Storage / RAM
โ Kama apps zinameza RAM au background apps ni nyingi, unaweza kuzifunga manually au tumia lighter apps.

5. Test Speaker, Mic na Vibration
โ Rekodi sauti, cheza audio, pika simu.
โ Kama sauti ni ndogo, chafu au haifanyi kazi:
Inaweza kuwa software issue au hardware kama IC/audio chip.

7. Test Sensors
โ Kama compass, light sensor au proximity sensor hazifanyi kazi, utaona kwenye apps kama Phone Doctor Plus.
โ Sensor mbovu = simu inaweza kuzimika ghafla au kuishiwa mwanga bila sababu.

Bonus Tip:
โ Kama hujui chanzo cha tatizo, fanya safe mode boot au factory reset (backup kwanza)
โ Kama bado simu inasumbua, ni hardware issue.

2. Tumia Apps Maalum za Diagnosis
โ Hizi zinakupa taarifa za kina sana:
โข Phone Doctor Plus
โข TestM Hardware
โข AccuBattery โ kwa battery health
โข CPU-Z โ specs na thermal info
โข Device Info HW โ full breakdown ya simu

9. Kagua Health ya OS
โ Fungua Developer Options (7x tap Build Number)
โ Cheki background processes, animations, CPU usage.
โ OS Corruption inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi ya simu.

4. Test Screen na Touch Sensitivity
โ Fungua white background au piga screenshot โ cheki kama kuna sehemu zenye madoa au rangi isiyo ya kawaida.
โ Gusa kona zote: kama kuna sehemu hazijibu, touch sensor inaweza kuwa mbovu.

6. Angalia Network & SIM Problems
โ Settings > SIM > Network settings
โข Kama line inakatika au data haishiki, chunguza:
Sim slot
APN settings
Band compatibility (hasa kwa imported phones)

ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จ SAMSUNG GALAXY A55
โช๏ธ24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
โช๏ธ12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY
๐ฅ128GB. 900,000Tsh
๐ฅ256GB. 1,050,000
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
๐จ SAMSUNG GALAXY A55
โช๏ธ24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
โช๏ธ12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY
๐ฅ128GB. 900,000Tsh
๐ฅ256GB. 1,050,000
๐Dar: KKKT Kariakoo
๐Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐ 0745100757
wa.me/+255745100757
๐ญ Satellite hiyo itaweza kusaidia Tanzania kuondokana na changamoto ya kutumia satellite za nchi jirani badala yake kuweza kutumia satellite yake mwenyewe katika kufuatilia maendeleo na usalama wa nchi kupitia satellite.
๐ก Waziri silaa anasema serikali imeingia mikataba miwili;
โกmkataba wa kwanza ni mkataba wa Anga za juu wa mwaka 1967 ambao unaainisha kanuni zinazoongoza mataifa katika uchunguzi na Matumizi ya anga za juu.

๐ญ Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali.

Hii ni lengo la Serikali ya Rais Dkt. Samia suluhu Hassan kuhakikisha kuwa Tanzania inakua
na satellite yake ilikusukuma mbele maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, usalama na Mawasiliano.
Hakika Serikali ya mama imepiga mwingi๐ฅ
@SuluhuSamia
@JerrySilaa

๐ญ Taarifa hiyo iliweza kutolewa bungeni tarehe 16, Mei 2025, na Waziri wa Masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Jerry Silaa akiwasilisha bajeti ya mwaka 2025 / 2026 bungeni.

๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฟ๐๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐น๐น๐ถ๐๐ฒ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ถ๐ป๐ถ ๐บ๐ธ๐ฎ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ
Hatimaye Serikali ya Tanzania yafanya jambo kubwa kuelekea mwaka 2026 ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Thread ni yako

โก Mkataba wa pili ni Mkataba kuhusu Usajili wa mwaka 1975 ambao unahusu usajili wa vitu vinavyorushwa kwenda anga za juu.

๐จAsante mwanafamilia
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
๐จAsante mwanafamilia
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
Bonus Tip:
Kwa Android, nenda Settings > Accounts > Google > Remove Account.
Kwa iPhone, nenda Settings > iCloud > Sign Out.
Usipofanya hivi, hata baada ya Reset, mtu mwingine ataweza kutumia simu yako!

๐จJe, Simu Yako Inaweza Kununuliwa Tena Bila Wewe Kujua?
Watu wengi huuza au kupoteza simu wakiamini wamefuta kila kitu... kumbe bado data zao zipo ndani.
Shuka๐งต๐
Usisahau๐