Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Bonus:
Disable "Hey Google" au "Siri" kama huitumii
β†’ Inabaki ikisikiliza kila wakati, huathiri battery & faragha.
πŸ’¨ Kuna zile nyumba kigamboni mwaka jana mwanzoni zilikuwa zinapangishwa 250K siku hizi ni 400K.
@Huduma

πŸ’¨ Mbele ni Xiaomi Civi 5 Pro na nyuma ni Xiaomi 15
@Huduma

πŸ’¨ Jana linifanikiwa kucheki BARALUKO Ep1 YouTube ya Gabo itoshe kusema jamaa kaamua kutuonyesha hapa Bongo yuko mmoja tu

β–ͺ️Waliofanya Video&Sound Production βœ…
β–ͺ️Uwezo wa Kuigiza&Kucheza na hisia βœ…
πŸ’¨ Hii idadi ya watu waliopo kwenye mabanda ya mpira na bar kucheki hii game ya Simba na Berkane ni kubwa mno.
Pia watumiaji watakuwa na option ya kuamua watu wengine na marafiki zao kuwa na uwezo wa kupost Status zao.
πŸ†• WhatsApp imeanza majaribio ya kuruhusu mtumiaji kuwa na uwezo wa ku-share Status ya mtu mwingine.

Ukiona status ya rafiki yako, utakuwa na uwezo wa kuipost (re-post) kwenye Status zako bila kulazimika kumuomba akutumie ili uweze kui-post au kuihifadhi.
3. Angalia Battery Health
β†’ Kama simu yako inazima ghafla au moto sana:
β€’ Tumia AccuBattery (Android)
β€’ iPhone: Settings > Battery > Battery Health

Battery chini ya 80% = ni dalili ya kuchoka.
8. Check Storage na RAM Usage
β†’ Simu ikisuasua, fungua:
Settings > Storage / RAM
β†’ Kama apps zinameza RAM au background apps ni nyingi, unaweza kuzifunga manually au tumia lighter apps.
5. Test Speaker, Mic na Vibration
β†’ Rekodi sauti, cheza audio, pika simu.
β†’ Kama sauti ni ndogo, chafu au haifanyi kazi:

Inaweza kuwa software issue au hardware kama IC/audio chip.
7. Test Sensors
β†’ Kama compass, light sensor au proximity sensor hazifanyi kazi, utaona kwenye apps kama Phone Doctor Plus.
β†’ Sensor mbovu = simu inaweza kuzimika ghafla au kuishiwa mwanga bila sababu.
Bonus Tip:
β†’ Kama hujui chanzo cha tatizo, fanya safe mode boot au factory reset (backup kwanza)
β†’ Kama bado simu inasumbua, ni hardware issue.
2. Tumia Apps Maalum za Diagnosis
β†’ Hizi zinakupa taarifa za kina sana:

β€’ Phone Doctor Plus
β€’ TestM Hardware
β€’ AccuBattery – kwa battery health
β€’ CPU-Z – specs na thermal info
β€’ Device Info HW – full breakdown ya simu
9. Kagua Health ya OS
β†’ Fungua Developer Options (7x tap Build Number)
β†’ Cheki background processes, animations, CPU usage.
β†’ OS Corruption inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi ya simu.
4. Test Screen na Touch Sensitivity
β†’ Fungua white background au piga screenshot – cheki kama kuna sehemu zenye madoa au rangi isiyo ya kawaida.
β†’ Gusa kona zote: kama kuna sehemu hazijibu, touch sensor inaweza kuwa mbovu.
6. Angalia Network & SIM Problems
β†’ Settings > SIM > Network settings
β€’ Kama line inakatika au data haishiki, chunguza:

Sim slot

APN settings

Band compatibility (hasa kwa imported phones)
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hawa wadau wamezidi sasa