Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
7. Simu Inasema β€œCan't send message to this number”
Sababu:

Unajaribu kutuma SMS kwa namba isiyo sahihi au haifanyi kazi tena.
Suluhisho:

Hakikisha namba iko sahihi, tumia 0 badala ya +255 au kinyume chake.
Suluhisho:

Nenda Settings > Blocked numbers β†’ angalia kama kuna mtu umezuia kimakosa.

Jaribu laini hiyo kwenye simu nyingine.

Angalia permissions za app ya Messages.
5. SMS Inaonekana Imepokelewa Lakini Haisomeki (Garbage characters)
Tatizo: SMS inakuja ikiwa imechanganyika na herufi zisizoeleweka.
Suluhisho:

Hakikisha namba ni sahihi.

Tuma tena baada ya muda au jaribu kumpigia umjulishe.

Ikiwezekana tumia app kama WhatsApp au Telegram kama njia mbadala.
4. Hupokei SMS Kabisa
Tatizo: Watu wanakutumia SMS lakini hupokei hata moja.
Sababu:

Umezuia (blocked) namba nyingi au umeweka filter fulani.

Line haijarekodiwa vizuri kwenye simu nyingine.
Sababu:

App ya messaging imepata bug au corrupted.
Suluhisho:

Update app ya Messages.

Clear cache kupitia Settings > Apps > Messages > Clear Cache.

Restart simu.
6. Ujumbe Unapotea Baada ya Kutumwa (Sent lakini haionekani kwenye outbox)
Tatizo: Unatuma SMS lakini haikai kwenye Sent/Outbox.
Suluhisho:

Jaribu ku-restart simu.

Tumia laini nyingine au jaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja.

Clear messages zako ikiwa inbox imejaa.
ZINGATIA
Kama tatizo linaendelea licha ya suluhisho zote hizi, ni vizuri kuwasiliana na huduma kwa wateja wa mtandao wako au kujaribu kutumia laini nyingine kwenye simu yako.

Pia, unaweza kutumia apps mbadala kama WhatsApp kwa ujumbe mfupi wa haraka.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Happy birthday to you
@Huduma

πŸ’¨Ni wakati wa kuwazingatia Vivo kwa jicho la tatu
@Huduma

πŸ’¨ NOTHING PHONE SERIES πŸ₯Ά

β–ͺ️CMF Phone1 (8+256) - 850K
β–ͺ️Phone2a (8+256) - 1.25m
β–ͺ️Phone2a (12+256) - 1.35m
β–ͺ️Phone 2 (12+256) - 1.58m
β–ͺ️Phone 2 (12+512) - 1.75m
β–ͺ️Phone 3a (12+256) - 1.25M
β–ͺ️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

πŸ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Cole Palmer anakuwaga na picha zake za kimiyeyusho sana πŸ˜‚πŸ˜‚
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Umetisha sana mzigo tayari nishaupokea πŸ™
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ’¨ Toka juzi network ya voda inapotea na kurudi.

Hii ni kwangu tu?