This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🤖🦾 Roboti wa Tesla (Optimus) anazidi kuwa na uwezo mkubwa na kufanya movements za aina nyingi, mfano katika kucheza. https://twitter.com/elonmusk/status/1922519347806847433#m
🆕 Proton imeweka mfumo mzuri wa kuhifadhi picha katika Proton Drive
Proton ni platform salama katika kuhifadhi data, kwa wale ambao hawapendi kutumia Google Photos katika kuhifadhi picha zao kwa sababu ya kiusalama - Proton Drive sasa ni option nzuri sana.
Proton ni platform salama katika kuhifadhi data, kwa wale ambao hawapendi kutumia Google Photos katika kuhifadhi picha zao kwa sababu ya kiusalama - Proton Drive sasa ni option nzuri sana.
〽︎ Teknolojia
💨TAARIFA
Pamekuwa na tatizo kwenye kupokea code kwa sms au missed call unapojaribu kulogin account yako ya Whatsapp kwenye simu nyingine
Jaribu kuunganisha account yako ya Whatsapp na email itasaidia kupokea verification code kupitia email yako

💨 Wachina kwa kushindana 😁
Baada ya Samsung kuzindua simu yao nyembamba zaidi ya S25 Edge
Honor wamewadis kwa simu yao ya Magic V3 iliyozinduliwa July. 2024 ikiwa na wembamba wa 4.35mm Vs 5.8mm S25 Edge
Kumbuka: Magic V3 ni foldable kama ilivyo Samsung Fold 6 yenye 5.5mm 😆 kwaiyo Samsung Fold nayo ni nyembamba zaidi ya S25 Edge.

💨 Muonekano wa Infinix GT 30 Pro itazinduliwa huko India siku zijazo.
Hizi ni simu za watu wa Gaming.
💨 Muonekano wa Infinix GT 30 Pro itazinduliwa huko India siku zijazo.
Hizi ni simu za watu wa Gaming.
〽︎ Teknolojia
💨 OFFER SAMSUNG A SERIES
▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💨 OFFER SAMSUNG A SERIES
▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Source:
GSMArena
Kimovil Frequency Checker
TCRA reports
Launches za Vodacom, Airtel, Tigo
GSMArena
Kimovil Frequency Checker
TCRA reports
Launches za Vodacom, Airtel, Tigo
6. Bei Inavyopanda—Unatakiwa Kufikiria Mbele
→ Simu ya laki 7 hadi 1M bila 5G ni upotevu wa hela.
→ Badala yake, tafuta simu yenye future-proof specs.
→ Hii si tu kuhusu sasa, bali 2026 na 2027 pia.
→ Simu ya laki 7 hadi 1M bila 5G ni upotevu wa hela.
→ Badala yake, tafuta simu yenye future-proof specs.
→ Hii si tu kuhusu sasa, bali 2026 na 2027 pia.
Mfano wa simu nzuri zenye chipset za 5G (na support Tanzania):
Samsung Galaxy A34 5G
Google pixel 5 na kuendelea
Redmi Note 13 Pro 5G
Infinix Zero 5G
Tecno Camon 20 Premier 5G
iPhone 12 na kuendelea
Samsung Galaxy A34 5G
Google pixel 5 na kuendelea
Redmi Note 13 Pro 5G
Infinix Zero 5G
Tecno Camon 20 Premier 5G
iPhone 12 na kuendelea
〽︎ Teknolojia
💨 PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M
USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M
📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚

7. Je, Kuna Sababu Ya Kuamua Kununua Simu Bila 5G?
Ndiyo—lakini chache sana:
Kama bajeti yako ni chini ya laki 5
Kama hautegemei simu kwa kazi au matumizi mazito ya data
Ndiyo—lakini chache sana:
Kama bajeti yako ni chini ya laki 5
Kama hautegemei simu kwa kazi au matumizi mazito ya data
Watumiaji wa 5G watakuwa na kasi ya data mara 5 hadi 10 zaidi
Simu yako mpya ya 2025 bila 5G itakuwa na future limit.
Simu yako mpya ya 2025 bila 5G itakuwa na future limit.
Kama uko sehemu ambayo 5G bado haijafika kabisa
Hata hivyo, inashauriwa ujiandae kwa 5G mapema.
Hata hivyo, inashauriwa ujiandae kwa 5G mapema.
5. Simu Mpya Bila 5G ni Hasara ya Baadaye
Leo inaweza isiwe shida, lakini fikiria:
Baada ya miezi 6–12, mitandao ya 4G itaanza kusongamana
Apps mpya (AI-based, video conferencing, streaming) zitahitaji 5G
Leo inaweza isiwe shida, lakini fikiria:
Baada ya miezi 6–12, mitandao ya 4G itaanza kusongamana
Apps mpya (AI-based, video conferencing, streaming) zitahitaji 5G