Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
'Vehicle Motion Cues' itaanza kupatikana kwenye MacBooks
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ IPHONE 17 SERIESπŸ”₯πŸ”₯
Playlists mpya za Apple na Universal Music Group https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1922333112760975753#m
πŸ†• Leo, Apple na Universal Music Group wamezindua kwa pamoja - mkusanyiko mpya wa playlist za afya ya akili uitwao β€œSound Therapy”

Ina nyimbo za mawimbi ya sauti na white noise ili kuwasaidia wasikilizaji kutuliza akili, kuwa na focus, na kulala kwa urahisi zaidi.
γ€½οΈŽ Teknolojia

YouTube Premium v20.20.45 (Usajili Umefunguliwa)
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━┳═─
πŸ’Ž 𝗠𝗼𝗱 π—œπ—»π—³π—Ό:
● Malipo | Vipengele Vinavyolipishwa Vimefunguliwa
● Hakuna matangazo
● Moduli thabiti
● Sauti na mwangaza uliowashwa
vidhibiti vya kubadilishana
● Imewasha uchezaji uliopunguzwa
uchezaji wa usuli
● Washa viungo vilivyo wazi moja kwa moja
kivinjari cha nje
● Kitufe cha kutopenda youtube kimewashwa
● Lugha nyingi zinapatikana
● Tao la CPU: armeabi-v7a, arm64-v8a
πŸ–€ YouTube.com/@Getmodpc
✈️ Hifadhi nakala ya kituo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ€–πŸ¦Ύ Roboti wa Tesla (Optimus) anazidi kuwa na uwezo mkubwa na kufanya movements za aina nyingi, mfano katika kucheza. https://twitter.com/elonmusk/status/1922519347806847433#m
πŸ†• Proton imeweka mfumo mzuri wa kuhifadhi picha katika Proton Drive

Proton ni platform salama katika kuhifadhi data, kwa wale ambao hawapendi kutumia Google Photos katika kuhifadhi picha zao kwa sababu ya kiusalama - Proton Drive sasa ni option nzuri sana.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨TAARIFA
Pamekuwa na tatizo kwenye kupokea code kwa sms au missed call unapojaribu kulogin account yako ya Whatsapp kwenye simu nyingine

Jaribu kuunganisha account yako ya Whatsapp na email itasaidia kupokea verification code kupitia email yako
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kushoto iphone 17 air kulia Samsung S25 Edge.

Utaenda na upande upi kiongozi
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Wachina kwa kushindana 😁

Baada ya Samsung kuzindua simu yao nyembamba zaidi ya S25 Edge

Honor wamewadis kwa simu yao ya Magic V3 iliyozinduliwa July. 2024 ikiwa na wembamba wa 4.35mm Vs 5.8mm S25 Edge

Kumbuka: Magic V3 ni foldable kama ilivyo Samsung Fold 6 yenye 5.5mm πŸ˜† kwaiyo Samsung Fold nayo ni nyembamba zaidi ya S25 Edge.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Muonekano wa Infinix GT 30 Pro itazinduliwa huko India siku zijazo.

Hizi ni simu za watu wa Gaming.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Source:
GSMArena

Kimovil Frequency Checker

TCRA reports

Launches za Vodacom, Airtel, Tigo
6. Bei Inavyopandaβ€”Unatakiwa Kufikiria Mbele
β†’ Simu ya laki 7 hadi 1M bila 5G ni upotevu wa hela.
β†’ Badala yake, tafuta simu yenye future-proof specs.
β†’ Hii si tu kuhusu sasa, bali 2026 na 2027 pia.