@Huduma
💨 Zote bei ni moja unachagua ipi?
▪️Google Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Nothing Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M
📍KKKT Kariakoo
wa.me/+255745100757
💨 Zote bei ni moja unachagua ipi?
▪️Google Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Nothing Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M
📍KKKT Kariakoo
wa.me/+255745100757
〽︎ Teknolojia
💨 Xiaomi 16 🔥
Wakati xiaomi 15 ultra ikiendelea kufanya vizuri sokoni tayari pamekuwa na tetesi za ujio wa Xiaomi 16 ikiwa na ▪️battery 6800mAh + 100W
▪️Snapdragon 8 Elite 2
💨 Xiaomi 16 🔥
Wakati xiaomi 15 ultra ikiendelea kufanya vizuri sokoni tayari pamekuwa na tetesi za ujio wa Xiaomi 16 ikiwa na ▪️battery 6800mAh + 100W
▪️Snapdragon 8 Elite 2
Graphics zinabadilika sana https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1922154038780412001#m
Kwa Nini Snapchat Inashindwa Kukua Wakati TikTok na Facebook Zinapanda Kwa Kasi
from teknolojia.co.tz
from teknolojia.co.tz
Telegraph
Kwa Nini Snapchat Inashindwa Kukua Wakati TikTok na Facebook Zinapanda Kwa Kasi
Snapchat, jukwaa la kijamii lenye umaarufu mkubwa miongoni mwa vijana, limeendelea kuonyesha dalili za kukwama kibiashara licha ya kuwa na watumiaji milioni 8 kila mwezi nchini Australia. Kwa mwaka wa fedha uliopita, kampuni hiyo ilipata mapato ya dola milioni…
〽︎ Teknolojia
💨 Sura za namna hii ndio zinaanzishaga haya majina na lugha ya kichugachuga alafu mtaa unaitika.
💨 Sura za namna hii ndio zinaanzishaga haya majina na lugha ya kichugachuga alafu mtaa unaitika.
Braille Access itasaidia vifaa vya Apple kuwa vya kuchukua maandishi ya nukta nundu, kurahisisha kufungua programu, kuandika, kufanya mahesabu kwa Nemeth Braille, na kusoma faili za BRF. Pia, huonyesha mazungumzo kwa wakati halisi kupitia kifaa cha nukta nundu.