Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
▪️Ukiwa hatarini (umetekwa, unafuatwa, au uko kwenye ajali), unaweza toa taarifa bila hata kufungua lock screen.

▪️Inafanya kazi kimya kimya – inakusaidia bila kumfahamisha mtekaji au mtu anayekufuatilia.
Kwa iPhone:

1: Nenda Settings > Emergency SOS
@Huduma

💨 Zote bei ni moja unachagua ipi?

▪️Google Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Nothing Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍KKKT Kariakoo
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi 16 🔥
Wakati xiaomi 15 ultra ikiendelea kufanya vizuri sokoni tayari pamekuwa na tetesi za ujio wa Xiaomi 16 ikiwa na ▪️battery 6800mAh + 100W
▪️Snapdragon 8 Elite 2
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG S25 EDGE🔥🔥🔥
🆕📲 Apple imetoa mfumo mpya wa iPhone - toleo jipya la iOS 18.5 kwa watumiaji wote wa iPhone XR mpaka iPhone 16 zote.
Mfumo mpya unapatikana katika iPhone XR mpaka iPhone 16 zote
App ya emails imeanza kuwa na mwonekano mpya na mpangilio mpya. Apple imeongeza sehemu ya kuona "All mails"
Apple imebadili sehemu ya - AppleCare & Warranty
🛰️ iPhone 13 zimeanza kupata mfumo wa mawasiliano ya Satelaiti
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Roboti ya AI yenye Akili 100 Zinazofikiri na Kutenda Mara Moja!
︎ Teknolojia

💨 Sura za namna hii ndio zinaanzishaga haya majina na lugha ya kichugachuga alafu mtaa unaitika.
Kwa watu wenye matatizo ya kusikia, 'Live Listen' sasa inapatikana kwenye Apple Watch ikiwa na vipengele vipya kama Live Captions kwa wakati halisi. Itasaidia iPhone kutuma sauti moja kwa moja kwenye AirPods, vifaa vya kusikia vya Made for iPhone, au Beats.
Mwaka huu, Magnifier inakuja kwenye Mac kusaidia watumiaji wenye uoni hafifu kuona mazingira yao vizuri. Inatumia kamera ya kifaa au iPhone kupitia Continuity Camera, au kamera ya USB, kukuza vitu kama skrini au ubao.
Accessibility Reader itasaidia watumiaji wa iPhone na wasioweza kuona - kusikiliza kitabu na PDF.

Sehemu hii itakuwa inasoma vitabu, document mbalimbali na PDF kwa sauti