Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.51K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
2. Repackaged Phone ni Nini?

Simu ya zamani iliyofungwa kwenye box jipya ili iuzwe kama mpya.

Hii ni moja ya mbinu za waingizaji wa simu kukudanganya kuwa umenunua mpya.
Kwa Android (Samsung, Xiaomi n.k):

Tumia app ya Phone INFO (kwa Samsung) au Device Info HW

Angalia sehemu ya “Manufacture Date” na “Refurbished Status”

Hakikisha IMEI inaendana na kwenye box & settings
3. Active vs Non-Active Devices

Active Device: Simu ambayo imeshawahi kutumika au kuwekwa online mara ya kwanza. Hii huonyesha tarehe ya activation, na mara nyingi warranty huanza kuhesabika tangu siku hiyo.
@Huduma

💨Kampuni ya TCL inatarajia kuingiza sokoni simu zao za Alcatel V3 Ultra 5G

Simu hizi zinatokea katika nchi ya India.

Specifications
📱 6.78" FHD+ 120Hz LCD Display
🔳 Dimensity 6300
📷 108MP + 8 UW + 2MP
🤳 32MP Front
🔊 Dual Speakers
👆 Side Fingerprint
🔋 5010mAh Battery
33W Charging
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE SERIES 🥶

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.25m
▪️Phone2a (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Infinix Hot 40i (8GB+128GB)

🔥 Price: 290,000Tsh

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 Samsung wapo mbioni kuzindua Samsung S25 edge.

Simu hii itazinduliwa kesho 13/5

Simu hii itakuwa nyembamba sana (5.8mm)
Ikiwa na display ya Gorilla Glass Ceramic 2
Specification zake👇
6.7" QHD+ 120hz Dynamic Amoled Display
• Gorilla Glass Ceramic 2
• Snapdragon 8 Elite for Galaxy
• 200mp main & 12mp Ultrawide
• 2x Optical Quality Zoom
• Titanium Frame
• 3900mah battery
• 12gb ram & 256/512gb storage
• Stereo Speakers
• 5.8mm thin
💨Kabla hujapanda bolt hakikisha hukosi jero mfukoni
Utanishukuru baadae😁
︎ Teknolojia

💨Realme GT 7 wanakwambia anxiety off, Power on
Kwa kiswahili unapanda nayo Kilimanjaro siku 7 alafu unashuka 😅😅
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 9a

▪️(8GB RAM, 128GB ROM) - 1.45M
▪️(8GB RAM, 256GB ROM) - 1.7M

📍KKKT Kariakoo
📞 0745100757
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💥 Tofauti ya graphics kwenye GTA 5 na GTA 6
2: Wezesha "Call with 5 Presses"
︎ Teknolojia

Tuanze namna ya kuactivate emergency sos kwenye simu yako

ANDROID USERS

1: Nenda Settings > Safety & Emergency > Emergency SOS
2: Washa chaguo la “Quickly press power button 5 times”