Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.49K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Oppo Reno 14 ina muonekano mzuri sana 🔥
︎ Teknolojia

MOVIE ITAYOKUTOA MACHOZI MWAKA 2025

hii ni moja wapo ya movie Kali Ambayo itaweza kukutoa machozi ukitizama
Aiseeh 😌

Threads Iko chini 👇🏾
2. Tumia Mac au PC (iMazing / CoconutBattery)

→ Connect iPhone kwenye computer
→ Tumia program kama:

CoconutBattery (kwa Mac)

iMazing (Windows & Mac)
Dalili:

Seal ya box ni bandia au imefungwa mara ya pili

Charger, cable au earphones si original (vinaonekana generic)

Kuna scratches kidogo au fingerprint

Box halina IMEI kabisa au imebandikwa sticker isiyo ya kiwandani
4. Kwa Nini Hii Ni Muhimu?

Refurbished: Warranty yake ni fupi, huweza kuwa na matatizo ya mara kwa mara

Repackaged: Hii mara nyingi ni tapeli, unalipa mpya unapata used


Non-Active Device: Simu haijawahi kufunguliwa au kuwekwa online. Hii ndiyo simu mpya kweli.

Kwa iPhone:

Nenda checkcoverage.apple.com

Weka serial number ya iPhone yako

Ukiona inasema: “Please activate your device” = Non-active

Ukiona warranty imeanza tayari = Active
Active phones: Warranty yake hupungua hata kabla hujanunua

Non-active: Hizi ndizo mpya kweli, zinastahili bei ya juu
Kwa Android:

Tumia app ya Phone INFO (kwa Samsung)

Angalia "First Activation Date"

Unaweza pia kutumia tovuti za IMEI checking kuangalia activation status
2. Repackaged Phone ni Nini?

Simu ya zamani iliyofungwa kwenye box jipya ili iuzwe kama mpya.

Hii ni moja ya mbinu za waingizaji wa simu kukudanganya kuwa umenunua mpya.