Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

💨 Vivo X200 Ultra VS Sony 6400 professional camera

Sony 6400 hii ni camera ya daraja la kati ya 2019. Kulinganisha Camera ya simu na Camera kama Camera huwaga kuna gape kubwa linaonekana kutokana na udogo wa sensor za camera za simu.

Hapa Vivo kwa namna flani 👇
@Huduma

Imejitadi kwa kiasi chake ila gape linaonekana 😁😁
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Oppo Reno 14 ina muonekano mzuri sana 🔥
︎ Teknolojia

MOVIE ITAYOKUTOA MACHOZI MWAKA 2025

hii ni moja wapo ya movie Kali Ambayo itaweza kukutoa machozi ukitizama
Aiseeh 😌

Threads Iko chini 👇🏾
2. Tumia Mac au PC (iMazing / CoconutBattery)

→ Connect iPhone kwenye computer
→ Tumia program kama:

CoconutBattery (kwa Mac)

iMazing (Windows & Mac)
Dalili:

Seal ya box ni bandia au imefungwa mara ya pili

Charger, cable au earphones si original (vinaonekana generic)

Kuna scratches kidogo au fingerprint

Box halina IMEI kabisa au imebandikwa sticker isiyo ya kiwandani
4. Kwa Nini Hii Ni Muhimu?

Refurbished: Warranty yake ni fupi, huweza kuwa na matatizo ya mara kwa mara

Repackaged: Hii mara nyingi ni tapeli, unalipa mpya unapata used