Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5. Simu Feki (Clone Phones)

Huonekani kama simu halali

Hakuna security updates

Bateria za kulipuka

Mara nyingi hazina Play Store
Kagua IMEI, angalia box & specs kwa makini.
2. Simu Bila 4G au 5G

Hii ni 2025, bado unanunua simu ya 3G?

Mitandao mingi duniani tayari imeanza kuzima 3G

Hakuna future-proof
Hakikisha simu ina 4G angalau.
@Huduma

Frame 01: Xiaomi 15 ultra vs Vivo X200 ultra
Frame 02: Vivo X200. Ultra vs Oppo find X8 ultraπŸ”₯
Wanaonekana kama watoto wa baba mmoja
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Samsung A05s

(4GB RAM, 128GB ROM) - 350,000

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

πŸ’¨ Vivo X200 Ultra VS Sony 6400 professional camera

Sony 6400 hii ni camera ya daraja la kati ya 2019. Kulinganisha Camera ya simu na Camera kama Camera huwaga kuna gape kubwa linaonekana kutokana na udogo wa sensor za camera za simu.

Hapa Vivo kwa namna flani πŸ‘‡
@Huduma

Imejitadi kwa kiasi chake ila gape linaonekana 😁😁
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Asante kwa kutuamini

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Ila Simba ya maziwa na asali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Oppo Reno 14 ina muonekano mzuri sana πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

MOVIE ITAYOKUTOA MACHOZI MWAKA 2025

hii ni moja wapo ya movie Kali Ambayo itaweza kukutoa machozi ukitizama
Aiseeh 😌

Threads Iko chini πŸ‘‡πŸΎ