Teknolojia
133 subscribers
3.8K photos
4.52K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Bado maswali yamekua Mengi kwenye upande wa maadili na kiimani kwa kuzuia utata kwani Wengi tunaamini Allah (Mungu) ndo muweza wa kila jambo kwenye hii Dunia lakini..... ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kuweza kudumisha miili Yetu kwa kiwango cha seli, kusimamisha au kurudisha nyuma mchakato wa kuzeeka kwa binadamu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ช๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฒ๐—ฝ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ na ๐—ธ๐—ถ๐—ณ๐—ผ

๐ŸŒ Aiseeeh Dunia bhana ๐Ÿ˜‰, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa ๐Ÿš’....!!!!!

Threads ni Yako ๐Ÿ’ก
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Teknolojia ya AI itaweza kushika Kasi na kufanya mabadiliko kutoka kutengeneza iphone na kuleta kitu kipya kwenye ulimwengu huu wa Teknolojia.
Wengi wanaamini kuwa smart Glasses ๐Ÿ•ถ๏ธ ndo itaweza kuchukua nafasi badala ya kutumia simu kushika mkononi watu watakua wanavaa miwani.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ต๐˜‚๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฑ

Makamo wa Rais wa kampuni ya apple amekuja na kauli yenye utata iloyowashtua wengi sana ๐Ÿ™„..

Threads ni Yako
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Huku baadhi wakipiga chapio kuhusu Teknolojia ya Human AI pin ambayo ni chip unakua nayo mkononi nakukusaidia kufanya mambo mbalimbali bila kuwa na simu kuanzia kupiga simu, kupokea , kutuma Message nk.

Je ni kweli teknolojia ya simu itaweza kuondolewa??

@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐ŸŒ Anasema Teknolojia ya AI inaweza kuifanya iphone kuwa simu za kizamani sana ifikapo mwaka 2035 hali hii tunaweza kuiita "Technology shift" yani mabadiliko ya kiteknolojia ambayo itaweza kufungua milango kwa ushindani mpya.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ก Anaitwa Eddy Cue (SVP) Makamo wa Rais wa kampuni ya apple kwenye masuala ya Huduma, Aliweza kutoa maneno ya kuogopesha huenda iphone zisiwepo kabisa kuanzia miaka 10 ijayo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE

โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จPicha hii imepigwa na vivo x200 ultra
Kusema ukweli huku wameupiga mwingi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จOne plus 13

๐Ÿ”ฅPrice: 2M

Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Samsung A05s

(4GB RAM, 128GB ROM) - 450,000

๐Ÿ“Dar: KKKT Kariakoo
๐Ÿ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จJBL Flip 6

โ–ช๏ธ Original โœ…

๐Ÿ”ฅPrice 300,000

๐Ÿ“ Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จRealme GT 7 ipo mbinu kuzinduliwa ambayo itazinduliwa
27 May ambayo inakuja na battery capacity ya 7200mAh๐Ÿ”ฅ

Specification zake
MediaTek Dimensity 9400e
- LPDDR5X + UFS 4.0
- 6.78" AMOLED, 1.5K, 120Hz, 6000nits
- 50MP Sony IMX906, OIS + 50MP 2x Telephoto + 8MP Ultra Wide
- 32MP Selfie
- 7,000mAh (region dependent) | 120W
- Android 15, Realme UI 6.0
- In display fps, Dual speakers, Wi-Fi 7, Bluetooth 5.4, 360ยฐ NFC
- Plastic frame
- IP69 rated
Want to save money on AliExpress?
We share daily deals, promo codes, and coupons you wonโ€™t want to miss!
Join our channel and grab the best offers before theyโ€™re gone!

๐Ÿ”ป Click the button and join ๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ PIXEL MPYA ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.15M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡
โ–ช๏ธPixel 6a (6+128) - 430K
โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 650K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 650K
โ–ช๏ธPixel 8 (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8a (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

๐Ÿ’จ Ila wachina kwa kujishindanisha na iPhone ๐Ÿ˜

Hii ni Vivo S30 Pro Mini Vs iPhone 16 Pro