〽︎ Teknolojia
Ebu Fanya kwanza kutu follow kwa kuendelea kujifunza mambo Mengi kuhusu Teknolojia kwa lugha ya kiswahili 💡
@Bongotech255
Repost
Like
Follow ✅

💡 Pia itaweza kuwapa watu nguvu mpaka kufikia mwaka 2050 binadamu atakua na uwezo wa kuchagua umri wake wa kuishi Duniani na
kuamua kufa kwa hiari bila kulazimishwa au kutokupenda kupitia Teknolojia ya "𝐥𝐨𝐧𝐠𝐞𝐯𝐢𝐭𝐲 𝐞𝐬𝐜𝐚𝐩𝐞 𝐯𝐞𝐥𝐨𝐜𝐢𝐭𝐲".

💡 Wanaharakati wa maisha ya baadaye kama vile Dokta Ian Pearson na Ray Kurzweil wanatazamia siku zijazo ufahamu wa binadamu unaweza kuwekwa kwenye mifumo ya kidigitali, kuruhusu watu kuwepo zaidi ya miili yao ya kibailogia.

Wana sayansi wanasema kuwa kufikia mwaka 2050 watu watakua na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu usiojulikana inaweza kubadilika kutoka hadithi za Masimulizi kuwa maisha halisi.
Unasemaje kuhusu hali hii kutoka kwa wanasayansi??

💡 Wazo hili hujulikana kama "𝐝𝐢𝐠𝐢𝐭𝐚𝐥 𝐢𝐦𝐦𝐨𝐫𝐭𝐚𝐥𝐢𝐭𝐲" kutokufa kwa kidigitali, ambapo miaka ijayo kupitia nano teknolojia itatuwezesha Wanadamu kuweza kuzuia kuzeeka na.....

💡 Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.

Bado maswali yamekua Mengi kwenye upande wa maadili na kiimani kwa kuzuia utata kwani Wengi tunaamini Allah (Mungu) ndo muweza wa kila jambo kwenye hii Dunia lakini..... 👉🏾

Kuweza kudumisha miili Yetu kwa kiwango cha seli, kusimamisha au kurudisha nyuma mchakato wa kuzeeka kwa binadamu.

𝗪𝗮𝘁𝗮𝗳𝗶𝘁𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝘂𝗸𝗶𝗳𝗶𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟱𝟬 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗲𝗽𝘂𝗸𝗮 na 𝗸𝗶𝗳𝗼
🌍 Aiseeeh Dunia bhana 😉, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa 🚒....!!!!!
Threads ni Yako 💡

💡 Teknolojia ya AI itaweza kushika Kasi na kufanya mabadiliko kutoka kutengeneza iphone na kuleta kitu kipya kwenye ulimwengu huu wa Teknolojia.
Wengi wanaamini kuwa smart Glasses 🕶️ ndo itaweza kuchukua nafasi badala ya kutumia simu kushika mkononi watu watakua wanavaa miwani.

𝗵𝘂𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘂𝘀𝗶𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗶𝗳𝗶𝗸𝗮𝗽𝗼 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟯𝟱
Makamo wa Rais wa kampuni ya apple amekuja na kauli yenye utata iloyowashtua wengi sana 🙄..
Threads ni Yako

💡 Huku baadhi wakipiga chapio kuhusu Teknolojia ya Human AI pin ambayo ni chip unakua nayo mkononi nakukusaidia kufanya mambo mbalimbali bila kuwa na simu kuanzia kupiga simu, kupokea , kutuma Message nk.
Je ni kweli teknolojia ya simu itaweza kuondolewa??

🌍 Anasema Teknolojia ya AI inaweza kuifanya iphone kuwa simu za kizamani sana ifikapo mwaka 2035 hali hii tunaweza kuiita "Technology shift" yani mabadiliko ya kiteknolojia ambayo itaweza kufungua milango kwa ushindani mpya.

💡 Anaitwa Eddy Cue (SVP) Makamo wa Rais wa kampuni ya apple kwenye masuala ya Huduma, Aliweza kutoa maneno ya kuogopesha huenda iphone zisiwepo kabisa kuanzia miaka 10 ijayo.

💨 NOTHING PHONE
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M
📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757

💨One plus 13
🔥Price: 2M
Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo