Teknolojia
133 subscribers
3.8K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

📸 Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya 𝐏𝐞𝐫𝐢𝐬𝐜𝐨𝐩𝐞 𝐓𝐞𝐥𝐞𝐩𝐡𝐨𝐧𝐞 𝐂𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚 iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo.

💡 Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

📸 Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic 🔥🔥, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.

Kwa taarifa zaidi Tembelea @TecnomobileTZ
@Bongotech255

Usisahau kutu follow 🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

Hakika Tecno wametisha sana kwa mwaka 2025 huyu ndo mbabe wa Kamera kwa mwaka 2025 🔥🔥

Threads ni Yako 🚀
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukiwa na Monitor kama HP X34 ,kazi zinaenda vizuri sana. Asante sana @lexard_computers
︎ Teknolojia

💨Sony wanampango wa kuzindua simu mpya wiki ijayo

Sony Xperia 1 VII imenyooka sana🔥

Unaipa ngapi design ya camera ../10👇
︎ Teknolojia

🚀 𝐖𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐚𝐩𝐩 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐢𝐥𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐮i𝐧𝐬𝐭𝐚𝐥𝐥 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐢𝐦𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐒𝐞𝐯𝐚 𝐳𝐚𝐨. Kupitia tovuti ya LG Electronics inasema itafunga Seva za android mwezi unaofuata.
︎ Teknolojia

𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗟𝗚 𝗸𝘂𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗝𝘂𝗻𝗲 𝟯𝟬

💡 Kama unakumbuka Mwaka 2021 𝗟𝗚 iliweza kufanya uamuzi wa wa kuacha Soko la kuuza simu za Smartphone Mnamo mwaka 2021,

Threads ni Yako 🚀
︎ Teknolojia

💡 Baada ya Tarehe 30 June 2025 mtu Yeyote Hataweza Tena kuidownload na ku install Android update, huduma zote zile za software upgrade service pamoja na service centre upgrade zitazimwa.

LG watabaki kwenye uzalishaji wa Vifaa vya kieletroniki kama vile Tv, Saa,, friji nk.
︎ Teknolojia

💡 Kampuni hiyo Hatimaye inajianda kuzima Seva yao inayotumika kutoa android update mbalimbali kwa simu za Smartphone.
︎ Teknolojia

𝐈𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨 𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟑𝟎 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐇𝐮𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐚𝐡𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐦𝐚𝐩𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐟𝐮𝐦𝐨 𝐰𝐚 𝐮𝐞𝐧𝐝𝐞𝐬𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐝𝐫𝐨𝐢𝐝.
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

iQOO Neo 10 zimeingizwa kwenye soko la China leo na zitaanza kuuzwa kwenye soko rasmi 26 may
@Huduma

💨 Oppo Reno 14 🥶
︎ Teknolojia

Ebu Fanya kwanza kutu follow kwa kuendelea kujifunza mambo Mengi kuhusu Teknolojia kwa lugha ya kiswahili 💡

@Bongotech255
Repost
Like
Follow
︎ Teknolojia

💡 Pia itaweza kuwapa watu nguvu mpaka kufikia mwaka 2050 binadamu atakua na uwezo wa kuchagua umri wake wa kuishi Duniani na

kuamua kufa kwa hiari bila kulazimishwa au kutokupenda kupitia Teknolojia ya "𝐥𝐨𝐧𝐠𝐞𝐯𝐢𝐭𝐲 𝐞𝐬𝐜𝐚𝐩𝐞 𝐯𝐞𝐥𝐨𝐜𝐢𝐭𝐲".
︎ Teknolojia

💡 Wanaharakati wa maisha ya baadaye kama vile Dokta Ian Pearson na Ray Kurzweil wanatazamia siku zijazo ufahamu wa binadamu unaweza kuwekwa kwenye mifumo ya kidigitali, kuruhusu watu kuwepo zaidi ya miili yao ya kibailogia.
︎ Teknolojia

Wana sayansi wanasema kuwa kufikia mwaka 2050 watu watakua na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu usiojulikana inaweza kubadilika kutoka hadithi za Masimulizi kuwa maisha halisi.

Unasemaje kuhusu hali hii kutoka kwa wanasayansi??