〽︎ Teknolojia
💨 SAMSUNG GALAXY A55
▪️24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
▪️12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY
💥128GB. 900,000Tsh
💥256GB. 1,050,000
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💨 SAMSUNG GALAXY A55
▪️24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
▪️12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY
💥128GB. 900,000Tsh
💥256GB. 1,050,000
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
👍1
〽︎ Teknolojia
Kumbuka: unapoibiwa au kupoteza simu Hakikisha unatoa taarifa kwa watoa huduma wako waweze kukusaidia kuifunga hiyo line ili kuwa Salama.
Share kwa wengine wajifunze zaidi 💥
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa kujifunza zaidi 🌝

⚡ Baada ya kujua kiasi gani kwenye akaunti jumla kipo ataamua sasa kiasi gani anapanga kukuibia kwenye simu yako kwa kupiga huduma kwa wateja Bure 100 kisha ataweza kuomba abadilishiwe password.

⚡ Ukibiwa simu kama kifaa chako kina nywila mwizi anatoa line na kuiweka kwenye kifaa kingine.
⚡ pili ataweza kuchunguza usajili uliofanywa kupitia namba yako kwa kupiga *106# ataweza kujua majina kamili ya mmiliki wa hiyo line.

𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝗺𝘄𝗶𝘇𝗶 𝗮𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗶𝗯𝗶𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗹𝗶𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
💭 Changamoto ya kuibiwa au kupoteza simu mtu yeyote inawezekana kumkuta mtu yeyote kwenye hii Dunia lakini suala la kulinda kifaa chako ni muhimu,
Threads

⚠️Swali la kujiuliza Je mwizi aliwezaje kuhamisha pesa toka laini moja kwenda nyingine wakati nywila au namba ya Siri (password) haijui 🙄,
wengi wanaamini kuwa Mitandao ya Simu wanahusika kwenye hili lakini kiuwalisia Sio kweli unajua kwanini 👇🏾

💡 Kutokana na taarifa zako zote anazo customer care ataweza kumtumia code ambazo akiziweka kwenye hiyo laini ataweza kubadilisha password na kuweza kuhamisha pesa anazotaka.

⚡ Huduma kwa wateja watamuuliza maswali ambayo majibu anayo kuanzia jina alilosajilia, kiasi kilichopo, muhamala wa mwisho kufanyika taarifa hizi hatazitoa kwa Customer Care.

⚡ Kisha wanatumia mfumo wa kutuma pesa ataweza kukutumia kiasi chochote kuanzia 500 nk
kisha jina lako litaweza kutokea kwenye simu yake wakati anakutumia pesa na kujua namba hii imesajiliwa kwa jina gani.

💡 Kuna mtu mmoja Aliweza kuibiwa simu yake baada ya masaa kadhaa ikaweza kufanyika miamala kwenye line yake bila Yeye kujua ambapo kiasi Cha zaidi ya Tsh 1,000,000/= kiliweza kuhamishwa kutoka laini A kwenda laini X.