@Huduma
⚡ Unaweza kutengeneza formation yoyote unayoipenda na kuiweka kwenye timu yako pamoja na
kufanya mabadiliko unaweza sema unacheza pro Evolution soccer kwenye playstation au Kompyuta.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Kupitia Sayari ya Mars , utaweza kuiona Sayari ya Dunia Iko kama nyota angavu yenye rangi ya bluu inayongaa.
Video imenaswa na shirika la anga la Marekani @NASA ikionyesha jinsi Sayari ya Mars inavyoonekana Nyakati za usiku.

⚽ Moja kati ya Game nzuri ya kucheza kwa mwaka huu 2025 basi Hii Game inaitwa Efootball ni game nzuri ya mpira ambao watu wanacheza kupitia simu zao na kufurahia burudani.

🎮 Game hii ni muendelezo wa Game la mpira la Pro evolution soccer la mwaka 2010 na 2012 ,
baadae kampuni ya Konami ikaamua kubadilisha jina kuita Efootball ilikua mwaka 2021 ambapo game la kwanza la Efootball lilikua Linaitwa Efootball 2022.

💭 Game ili linapatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kwa ujumla kupitia soko la play store na app store. Nini kilichopo ndani ya hii Game 🎮

⚡ Unaweza kumnunua mchezaji yoyote toka timu yoyote au kumkodisha kwa mkopo
💭 bila kusahau kuchamgua Mwalimu unayempenda Kuna guardiola, Ancelloti, xabi Alonso, robin amorim , Vincent kompany nk.

⚡ Inakupa uwezo wa kuunda timu yako binafsi au kuchukua timu yoyote unayoipenda na kuitumia.
⚡ Unaweza kucheza kwa kutumia pad au kutachi kwenye kioo Cha simu yako ili kuweza kufurahia michezo mbalimbali.

⚡picha zenye Ubora wa hali ya juu yani graphics Kali sana inayo
kufanya ukicheza una enjoy.
Unacheza game Gani kwenye simu yako ??
@play_eFootball

. Network Support: Je, ni 4G, 5G au mmWave?
Mwaka 2025 5G inazidi kuwa kawaida – hakikisha simu yako ina support ya 5G (hasa n77/n78 bands).
Kama unataka future-proofing, angalia simu zenye mmWave (fastest 5G), though sio lazima kwa kila mtu.

. Camera Setup
Don’t just fall for “108MP” – angalia sensor quality (Sony IMX au Samsung ISOCELL).
Uwepo wa OIS (Optical Image Stabilization) ni faida kubwa kwa video & low light.
Ultrawide na telephoto lenses ni bonuses – useful for creativity.

. Battery & Charging
5000mAh ni standard ya 2025.
Support ya fast charging (25W – 120W) ni muhimu kama uko busy.
Angalia kama inakuja na charger ndani ya box – sio brand zote zinatoa tena.

. Storage & RAM
Don’t go below 4/6GB RAM na 128GB storage (kama unataka kifaa kisichochoka).Hususani kwa Android
Kama unafanya content creation au gaming – 8GB/256GB au zaidi ni bora.
AVOID 64GB phones in 2025 – storage hiyo ni finyu, apps zinaongezeka ukubwa.

. Software Support
Angalia OS na updates: Samsung, Google, na OnePlus huahidi updates hadi miaka 4–5.
Simu za China (vivo, Xiaomi, etc.) huchelewa updates – jua hilo kabla.