Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

ligi na Timu mbalimbali ukifanikiwa kucheza hii game utaweza kukutana na ushindani wa timu mbalimbali ulimwenguni

🚀 pamoja ligi Bora na zenye ushindani mkubwa kuanzia Premier league, La Liga, Germany, League One, Italia league, Arabic nk.
@Huduma

Unaweza kutengeneza formation yoyote unayoipenda na kuiweka kwenye timu yako pamoja na

kufanya mabadiliko unaweza sema unacheza pro Evolution soccer kwenye playstation au Kompyuta.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kupitia Sayari ya Mars , utaweza kuiona Sayari ya Dunia Iko kama nyota angavu yenye rangi ya bluu inayongaa.

Video imenaswa na shirika la anga la Marekani @NASA ikionyesha jinsi Sayari ya Mars inavyoonekana Nyakati za usiku.
@Huduma

Moja kati ya Game nzuri ya kucheza kwa mwaka huu 2025 basi Hii Game inaitwa Efootball ni game nzuri ya mpira ambao watu wanacheza kupitia simu zao na kufurahia burudani.
@Huduma

🎮 Game hii ni muendelezo wa Game la mpira la Pro evolution soccer la mwaka 2010 na 2012 ,

baadae kampuni ya Konami ikaamua kubadilisha jina kuita Efootball ilikua mwaka 2021 ambapo game la kwanza la Efootball lilikua Linaitwa Efootball 2022.
︎ Teknolojia

💭 Game ili linapatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kwa ujumla kupitia soko la play store na app store. Nini kilichopo ndani ya hii Game 🎮
@Huduma

Unaweza kumnunua mchezaji yoyote toka timu yoyote au kumkodisha kwa mkopo

💭 bila kusahau kuchamgua Mwalimu unayempenda Kuna guardiola, Ancelloti, xabi Alonso, robin amorim , Vincent kompany nk.
@Huduma

Inakupa uwezo wa kuunda timu yako binafsi au kuchukua timu yoyote unayoipenda na kuitumia.

Unaweza kucheza kwa kutumia pad au kutachi kwenye kioo Cha simu yako ili kuweza kufurahia michezo mbalimbali.
@Huduma

picha zenye Ubora wa hali ya juu yani graphics Kali sana inayo
kufanya ukicheza una enjoy.

Unacheza game Gani kwenye simu yako ??

@play_eFootball
︎ Teknolojia

. Network Support: Je, ni 4G, 5G au mmWave?

Mwaka 2025 5G inazidi kuwa kawaida – hakikisha simu yako ina support ya 5G (hasa n77/n78 bands).

Kama unataka future-proofing, angalia simu zenye mmWave (fastest 5G), though sio lazima kwa kila mtu.
︎ Teknolojia

. Camera Setup

Don’t just fall for “108MP” – angalia sensor quality (Sony IMX au Samsung ISOCELL).

Uwepo wa OIS (Optical Image Stabilization) ni faida kubwa kwa video & low light.

Ultrawide na telephoto lenses ni bonuses – useful for creativity.