Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Vivo X200 Ultra siku zake zinahesabika iingie sokoni.
@Huduma

๐Ÿ’จHuku Vivo X200 ultra huku Oppo find 8X Pro

Kura yako kwa nani?

Oppo Find 8X Pro. Vivo x200 ultra
๐Ÿ‘‡
@Huduma

๐Ÿ’จHawa waasisi wanataka kurudi tena
Sokoni.
โค1
@Huduma

๐Ÿ’จKatika mwendelezo wa simu za One plus 13 series, sasa wanakuja na One plus 13T.
Uzinduzi huu utafanyika 24/04 huko China.
Hii ni baada ya kuzinduliwa kwa one plus 13 na One plus 13R.
Mwaka huu ni wa kila mtu apate.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Xiaomi Redmi A3X

(3GB RAM, 64GB ROM) - 230,000

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
๐Ÿ†• Kampuni ya OpenAI imeanza mpango wa kutengeneza mtandao wake binafsi wa kijamii.

Inawezekana mtandao huu utakwepo ndani ya app ya ChatGPT au itakuwa ni app ambayo inajitegemea.

Itasaidia OpenAI kupata taarifa za papo kwa papo kwa ajili ya kufundisha mifumo yake ya AI
๐Ÿ†• Sehemu ya DM katika mtandao wa X/Twitter itaitwa โ€œXChatโ€

Baadhi ya watu wamepinga kwa sababu jina lake linafanana chats za mitandao ambayo haina maadili https://twitter.com/nima_owji/status/1910015526006616107#m
๐Ÿ†• WhatsApp imeanza kuruhusu watumiaji kuweka video yenye urefu wa zaidi ya Dakika 1 kwenye WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka video ambazo zitakuwa na urefu wa sekunde 90 (Dakika 1 na sekunde 30) katika sehemu ya WhatsApp Status.
๐Ÿ‘1
โ€ข ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น 9, 8, 7, 6, Fold, Tablet
โ€ข ๐—›๐—ข๐—ก๐—ข๐—ฅ โ€“ Magic 7 Pro
โ€ข ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ป๐—ผ๐˜ƒ๐—ผ โ€“ YOGA Tab Plus
โ€ข ๐—ข๐—ป๐—ฒ๐—ฃ๐—น๐˜‚๐˜€ โ€“ OnePlus 13
โ€ข ๐—ข๐—ฃ๐—ฃ๐—ข โ€“ Find X8
โ€ข ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฒ โ€“ GT 7 Pro
โ€ข ๐˜ƒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ผ & ๐—ถ๐—ค๐—ข๐—ข โ€“ X200 Pro, iQOO 13
โ€ข ๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ & ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฑ๐—บ๐—ถ โ€“ 14T Pro, 15, K70 Ultra