Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

💨 Uwezo wa ChartGPT kugenerate picha ni mkubwa sana inafeli sehemu moja tu kushindwa kuchukua sura kwa usahihi kwa mtu ambaye sio maarufu.

Hapa nimebadili sura ya Kendrick Lamah na kuweka yangu kwa maelezo mepesi kabisa.
︎ Teknolojia

💨Redmi note 14 pro 5G💥

Redmi note 14 pro 5G specifications
▪️Camera: 200Mp
▪️Storage: 256GB
▪️RAM: 8GB
▪️Battery capacity: 5110mAh👇

💥Price: 880,000Tsh

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Vivo X200 Ultra siku zake zinahesabika iingie sokoni.
@Huduma

💨Huku Vivo X200 ultra huku Oppo find 8X Pro

Kura yako kwa nani?

Oppo Find 8X Pro. Vivo x200 ultra
👇
@Huduma

💨Hawa waasisi wanataka kurudi tena
Sokoni.
1
@Huduma

💨Katika mwendelezo wa simu za One plus 13 series, sasa wanakuja na One plus 13T.
Uzinduzi huu utafanyika 24/04 huko China.
Hii ni baada ya kuzinduliwa kwa one plus 13 na One plus 13R.
Mwaka huu ni wa kila mtu apate.
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi Redmi A3X

(3GB RAM, 64GB ROM) - 230,000

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Kampuni ya OpenAI imeanza mpango wa kutengeneza mtandao wake binafsi wa kijamii.

Inawezekana mtandao huu utakwepo ndani ya app ya ChatGPT au itakuwa ni app ambayo inajitegemea.

Itasaidia OpenAI kupata taarifa za papo kwa papo kwa ajili ya kufundisha mifumo yake ya AI
🆕 Sehemu ya DM katika mtandao wa X/Twitter itaitwa “XChat”

Baadhi ya watu wamepinga kwa sababu jina lake linafanana chats za mitandao ambayo haina maadili https://twitter.com/nima_owji/status/1910015526006616107#m