Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ”• Jambo kubwa zaidi ni kuhusu pia Kuna uwezekano wakaleta feature ya kuzuia screenshot kupitia chati za kawaida kama ilivyo kwenye kupiga screenshot kwenye profile picha za watu.

Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi ๐ŸŒ๐Ÿฅ‚
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โœ”๏ธ Itamzuia mtu asiwe na uwezo wa ku exports chati zilizopo kwenye Whatsapp kutoka nje ya Whatsapp.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiweze ku forward message uliyomtumia.

โœ”๏ธ Itaweza kumzuia mtu asiwe na uwezo wa kutumia Teknolojia ya Meta AI Kwenye chati zenu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ BATO LA TRUMP NA CHINA

โ–ช๏ธTrump kuongeza ushuru kwa China 30% kisha 84%
โ–ช๏ธChina nayo ikaongeza hivyo hivyo
โ–ช๏ธTrump akaongeza tena ushuru hadi 145%
โ–ช๏ธChina nayo ikajibu
โ–ช๏ธTrump akasema Xi ampigie simu
โ–ช๏ธRais wa China akagoma kupiga simu
โ–ช๏ธTrump akatangaza kuwa atakuwa tayari kufanya makubaliano
โ–ช๏ธChina haikujibu chochote
โ–ช๏ธTrump amerudisha ushuru kama awali.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 420K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
๐Ÿ“ Ukubwa wa sensor za kamera za iPhone, zikilinganishwa na sensor ya Sony
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kwaiyo Ndege hiyo ilikua ya Marekani inaonyesha kuwa Kuna viumbe kweli Alliens vipo ambao wamarekani wamewaficha.

Aliens wapo kweli ๐Ÿ‘พ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—”๐—น๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ด๐—ฒ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ๐˜ ๐—ž๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜„๐—ฒ

Hii ni stori ambayo ilitokea miaka 1980 mpaka kufikia mwaka 1990 na 1992 ambapo Kuna Siri kubwa CIA wameficha dhidi ya viumbe Alliens

Uzi ni wako ๐Ÿ›ธ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’Ž Ripoti hiyo inaeleza kuhusu wakati wa mapambano ya Usovieti ambapo wanajeshi walirusha kombora kulipua kitu kilicho kuwa kinaruka chini na chenye umbo la diski ndani yake kulikua na Alliens.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ‘พ Hati hiyo inaonyesha au kuelezea Tukio la enzi ya Vita ya Baridi ambapo kupitia mkutano wa UFO unadaiwa Kuna baadhi ya wanajeshi 23 wa Soviet waligeuzwa kuwa mawe.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Masimulizi haya yaliyojaa simanzi inasemekana kulitokea Ndege ndogo Tano za mareoani za duara ๐Ÿ‘พ๐Ÿ›ธ ambapo uliweza kutoa Mwanga uliopelekea watu kupofushwa

na kugandishwa ambao manusurika waliobaki walikua wawili TU bila kujeruhiwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ญ Hii sio Siri Tena Dunia inabidi itambue ukweli kuhusu viumbe Alliens wapo kweli !!! Kuna hati ya CIA iliyofichwa miaka mingi Hatimaye imepatikana ikielezea mambo Mengi ya siri kuhusu viumbe Alliens.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Baba nipate hii tu ๐Ÿ™
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ NOTHING PHONE

โ–ช๏ธPhone 3a (12+256) - 1.25M
โ–ช๏ธPhone 3a Pro (12+256) - 1.45M

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKutengeneza picha kama hii unapakia picha na unaandika prompt kama hii hapo chini.
Unaweza modify kwa namna upendayo
Jaribu tuone๐Ÿ‘‡
@Huduma

๐Ÿ’จChatGPT hazuiliki๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Hidden App Drawer Search Tricks
โ€“ Search app kwa jina lake au function yake tu kama โ€œmusicโ€ au โ€œphoto.โ€
โ€“ Zinaonekana haraka hata kama jina husahau.
Ni search engine ndani ya simu yako.
[7/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. One-Handed Mode (Android & iPhone)
โ€“ Inapunguza screen size uweze kutumia simu kwa mkono mmoja.
โ€“ Perfect kwa watu wa mitandao ya usiku.
Settings > One-handed mode.
[6/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Scheduled Messages (Simu nyingi za Android)
โ€“ Tuma message baadaye bila kusahau.
โ€“ Perfect kwa birthday wishes, reminders n.k.
Messages > Tap "+" or Timer icon > Set time.
[11/]
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Safari/Chrome Tricks (Browser)
โ€“ Long press tab button kuona history.
โ€“ Swipe left/right kubadilisha tab.
โ€“ Save page kama PDF kwa offline reading.
[8/]