Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

. Biometric Locks – Ufunguo ni Uso Wako
Badala ya funguo za kawaida, milango itafunguka kwa kutumia uso wako, sauti au alama ya kidole. Teknolojia hii itaimarisha usalama na kuondoa usumbufu wa kufungua mlango kwa funguo.
︎ Teknolojia

Nyumba nyingi zitakuwa na solar panel zenye smart meters, ambazo zitajua lini kutumia umeme wa jua, lini kuhifadhi, na lini kuuza kwa gridi ya taifa.
︎ Teknolojia

. Virtual Reality Rooms – Burudani Ndani ya Nyumba
Chumba kimoja au sehemu ya sebule kitawekwa teknolojia ya Virtual Reality (VR) kwa ajili ya kuburudika, kusafiri kidijitali, kufanya mazoezi au hata kuhudhuria mikutano ya kazini ukiwa nyumbani.
︎ Teknolojia

Hawa si roboti wa sinema – ni AI-powered assistants wenye uwezo wa kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani bila kusumbua.
︎ Teknolojia

. Teknolojia za Usalama (Surveillance & Drones)
Kila nyumba itakuwa na mfumo wa usalama wa kisasa – kamera zenye AI, drone ndogo za kutambua wageni, na vifaa vya sensor za mlango na dirisha.
︎ Teknolojia

. Fridges zenye AI – Zinazoagiza chakula chenyewe
Friji litajua unapomaliza maziwa au mayai, na litaweza kuagiza moja kwa moja kutoka kwenye soko la karibu au supermarket. Pia litakushauri nini upike kulingana na kilichopo ndani.
︎ Teknolojia

. Smart Toilets – Vyoo vinavyojua afya yako
Ndiyo, hata vyoo vitakuwa na akili. Smart toilets zitakuwa na sensor za kuchambua mkojo na kinyesi, kukupa taarifa mapema kuhusu matatizo ya kiafya kama kisukari, maambukizi au upungufu wa virutubisho.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Watu wamekuwa wakihoji utofauti kati ya Samsung s24 Ultra vs s25ulta

Nimekuekea video chini 👇
︎ Teknolojia

💨Humu ndani pixel amekimbiza hatari🔥
︎ Teknolojia

💨 Mzee mzima @ze_mandevu ndani ya NJIWA STORE

Mimi with ndevu za kipilipili tumekaa kushoto 😂😂
︎ Teknolojia

💨 Design gani ya kamera utaruka nayo👇
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Watumiaji wa Gemini Advanced sasa wanaweza kutumia Deep Research kwa kutumia Gemini 2.5 Pro Experimental, modeli ya AI yenye uwezo mkubwa zaidi duniani kulingana na viwango vya hoja vya tasnia na Chatbot Arena.
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
👍1
︎ Teknolojia

💨 Google Pixel 10 series hizi hapa mpaka mpaka Google pixel 10 pro fold ipo👇
︎ Teknolojia

💨 Hawa watatoana damu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Branch yetu ya NJIWA STORE MWANZA kesho inshallah tutaifungua rasmi 🙏

📍Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
👍1