Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐Ÿ’จTUMIA GROK KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO.

Kwenye uzi wa jana tuliona namna ya kutengenezea picha za ghibli style kupitia ChatGPT bure.

Leo tuangazie hatua kwa hatua kupitia Grok.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Tukio ilo linaweza kutokea Tarehe 19 April ambapo Dunia itaweza kupungua uzito na kupelekea watu kuelea Angani ndani ya muda wa dakika 5.

Ambapo mvutano utaweza kupokea Kwa dakika 5 na vitu kuanza kuelea Angani Kwa muda huo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ili kuwa salama unapaswa ushikirie kitu kizito au kujifunga mahali ambapo ikitokea umepaa unaweza pata madhara utaporudi chini.

Je ungependa kushuhudia Tukio ili kwa wewe kuelea Angani au lah tuachie maoni yako?

Source:

Usisahau kutu follow @Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ช๐—” ๐——๐—จ๐—ก๐—œ๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ž๐—จ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—›๐—จ๐—จ

Kuna Tukio la Ajabu litaweza kutokea mwezi huu watu wataweza kuelea Angani ๐Ÿ˜

Threads ni Yako
@Huduma

Mpaka sasa unampa marks kati ya Grok na CHATGPT kwenye kutengeneza picha za ghibli style๐Ÿ‘‡
Grok. ChatGPT
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ JBL SPEAKER (Original๐Ÿ’ฏ)

โ–ช๏ธJBL Go 3 - 145K
โ–ช๏ธJBL Go 4 - 190K
โ–ช๏ธJBL Flip6 - 300K
โ–ช๏ธJBL Flip7 - 420K
โ–ช๏ธJBL Charger5 - 450K
โ–ช๏ธJBL Charger6 - 550K
โ–ช๏ธJBL XTRME3 - 700K
โ–ช๏ธJBL XTRME4 - 840K

๐Ÿ“Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จSamsung S25 Ultra

โ–ช๏ธ200MP Camera
โ–ช๏ธSnapdragon 8 Elite
โ–ช๏ธAndroid 15 | OneUI 7
โ–ช๏ธ12GB RAM & 256GB UP TO 1TB
โ–ช๏ธ5000mAh | 45W | UFS 4.0
๐Ÿ”นPrice 2.85M
โค1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จSimu ya VIVO X200Ultra iko mbioni kuzinduliwa huko China 21/April.

Specification zake:
โ–ช๏ธCamera: 200mp
โ–ช๏ธ Storage: 256GB, 512GB &1TB
โ–ช๏ธRAM: 12GB/16GB
โ–ช๏ธ Battery capacity: 6000 mAh
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Ila Kariakoo

Hii frame wewe na wateja mnakaa nje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จSimu zitakazopokea one UI 7
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จOppo Find X8 kuzinduliwa 10/April
Huko China

Specification zake:
โ–ช๏ธCamera: 50mp
โ–ช๏ธ Storage: 256GB, 512GB &1TB
โ–ช๏ธRAM: 12GB/16GB
โ–ช๏ธ Battery capacity: 6100 mAh
โ–ช๏ธSnapdragon 8 Elite
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จHuwenda hili likawa miongoni mwa Ad za simu kwa sasa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Biometric Locks โ€“ Ufunguo ni Uso Wako
Badala ya funguo za kawaida, milango itafunguka kwa kutumia uso wako, sauti au alama ya kidole. Teknolojia hii itaimarisha usalama na kuondoa usumbufu wa kufungua mlango kwa funguo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Nyumba nyingi zitakuwa na solar panel zenye smart meters, ambazo zitajua lini kutumia umeme wa jua, lini kuhifadhi, na lini kuuza kwa gridi ya taifa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Virtual Reality Rooms โ€“ Burudani Ndani ya Nyumba
Chumba kimoja au sehemu ya sebule kitawekwa teknolojia ya Virtual Reality (VR) kwa ajili ya kuburudika, kusafiri kidijitali, kufanya mazoezi au hata kuhudhuria mikutano ya kazini ukiwa nyumbani.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Hawa si roboti wa sinema โ€“ ni AI-powered assistants wenye uwezo wa kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani bila kusumbua.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Teknolojia za Usalama (Surveillance & Drones)
Kila nyumba itakuwa na mfumo wa usalama wa kisasa โ€“ kamera zenye AI, drone ndogo za kutambua wageni, na vifaa vya sensor za mlango na dirisha.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Fridges zenye AI โ€“ Zinazoagiza chakula chenyewe
Friji litajua unapomaliza maziwa au mayai, na litaweza kuagiza moja kwa moja kutoka kwenye soko la karibu au supermarket. Pia litakushauri nini upike kulingana na kilichopo ndani.