Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐Ÿ“ก Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kisha andila prompt unayopenda picha yako iweje.

Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.

Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
โค1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จUMESIKIA YA INFINIX?

Kampuni ya Infinix wanampango wa kuja na simu mpya infinix note 50s 5G+.
Simu inakuja na uwezo wa kutoa harufu (smelling) ya manukato.

Simu hii itakuwa na teknolojia ya harufu iitwayo "scent-tech".
Inatarajiwa kuzinduliwa nchini India tarehe 18 Aprili.
๐Ÿ‘1
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 02: Chini kabisa utaona symbol ya Grok utaclick.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 07: Itakuletea sample ya picha wewe utachagua unayopenda then iguse
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 04: Gusa sehemu ya kusearch picha kama nlivyokuonyesha hapa chini๐Ÿ‘‡
Itakupeleka moja kwa moja kwenye picha tafuta picha unayotaka then select itakurudisha moja kwa moja kwenye grok
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 03: Ikishafunguka gusa sehemu ya ku type.s
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 08: Hapa kudownload picha inasumbua sana cha kufanya screenshot picha unayoitaka itakuwa tiari kwenye simu yako.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 05: Hapa type "Turn this into ghibli style" then allow.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 01: Fungua mtandao wako wa X na wengine tiari wamepata app ya Grok automatically kupitia play store
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 06: Subiri kwa muda ikiwa ina generate picha mbali mbali.
@Huduma

๐Ÿ’จTUMIA GROK KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO.

Kwenye uzi wa jana tuliona namna ya kutengenezea picha za ghibli style kupitia ChatGPT bure.

Leo tuangazie hatua kwa hatua kupitia Grok.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Tukio ilo linaweza kutokea Tarehe 19 April ambapo Dunia itaweza kupungua uzito na kupelekea watu kuelea Angani ndani ya muda wa dakika 5.

Ambapo mvutano utaweza kupokea Kwa dakika 5 na vitu kuanza kuelea Angani Kwa muda huo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ili kuwa salama unapaswa ushikirie kitu kizito au kujifunga mahali ambapo ikitokea umepaa unaweza pata madhara utaporudi chini.

Je ungependa kushuhudia Tukio ili kwa wewe kuelea Angani au lah tuachie maoni yako?

Source:

Usisahau kutu follow @Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ช๐—” ๐——๐—จ๐—ก๐—œ๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ž๐—จ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—›๐—จ๐—จ

Kuna Tukio la Ajabu litaweza kutokea mwezi huu watu wataweza kuelea Angani ๐Ÿ˜

Threads ni Yako
@Huduma

Mpaka sasa unampa marks kati ya Grok na CHATGPT kwenye kutengeneza picha za ghibli style๐Ÿ‘‡
Grok. ChatGPT