Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote 😋

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote
@Huduma

💭Najua wengi wanasema wanatumia sijui adobe Photoshop, cartoon maker, adobe Xd kubadilisha Picha zako kuwa Katuni

Hapana 👎🏾, ebu angalia picha kama hii.... Unahitaji kubadilisha kuwa Katuni sio 😊
@Huduma

📡 Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kisha andila prompt unayopenda picha yako iweje.

Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?
︎ Teknolojia

unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.

Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
1
︎ Teknolojia

💨UMESIKIA YA INFINIX?

Kampuni ya Infinix wanampango wa kuja na simu mpya infinix note 50s 5G+.
Simu inakuja na uwezo wa kutoa harufu (smelling) ya manukato.

Simu hii itakuwa na teknolojia ya harufu iitwayo "scent-tech".
Inatarajiwa kuzinduliwa nchini India tarehe 18 Aprili.
👍1
︎ Teknolojia

Step 02: Chini kabisa utaona symbol ya Grok utaclick.
︎ Teknolojia

Step 07: Itakuletea sample ya picha wewe utachagua unayopenda then iguse
︎ Teknolojia

Step 04: Gusa sehemu ya kusearch picha kama nlivyokuonyesha hapa chini👇
Itakupeleka moja kwa moja kwenye picha tafuta picha unayotaka then select itakurudisha moja kwa moja kwenye grok
︎ Teknolojia

Step 03: Ikishafunguka gusa sehemu ya ku type.s
︎ Teknolojia

Step 08: Hapa kudownload picha inasumbua sana cha kufanya screenshot picha unayoitaka itakuwa tiari kwenye simu yako.
︎ Teknolojia

Step 05: Hapa type "Turn this into ghibli style" then allow.
︎ Teknolojia

Step 01: Fungua mtandao wako wa X na wengine tiari wamepata app ya Grok automatically kupitia play store
︎ Teknolojia

Step 06: Subiri kwa muda ikiwa ina generate picha mbali mbali.
@Huduma

💨TUMIA GROK KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO.

Kwenye uzi wa jana tuliona namna ya kutengenezea picha za ghibli style kupitia ChatGPT bure.

Leo tuangazie hatua kwa hatua kupitia Grok.

Shuka🧵👇