Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 05: Gusa picha unayotaka ku generate itapanda yenyewe kwenye sehemu ya ku type
γ€½οΈŽ Teknolojia

π—•π—”π——π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—” π—£π—œπ—–π—›π—” π—¬π—”π—žπ—’ π—žπ—¨π—ͺ𝗔 π—žπ—”π—§π—¨π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—–π—›π—”π—§π—œ π—šπ—£π—§

Je unapenda kubadilisha Picha yako kuwa Katuni kwa urahisi kupitia simu yako hapa tunazungumzia professional cartoon πŸ˜‹

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow
@Bongotech255
@Huduma

πŸ”… Studio Ghibli
πŸ”… Dragon Ball Z
πŸ”… Pixal
πŸ”… SimpSons
πŸ”… Minecraft
πŸ”… LEGO
πŸ”… Tim Burton
πŸ”… Original Photo
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote πŸ˜‹

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote
@Huduma

πŸ’­Najua wengi wanasema wanatumia sijui adobe Photoshop, cartoon maker, adobe Xd kubadilisha Picha zako kuwa Katuni

Hapana πŸ‘ŽπŸΎ, ebu angalia picha kama hii.... Unahitaji kubadilisha kuwa Katuni sio 😊
@Huduma

πŸ“‘ Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kisha andila prompt unayopenda picha yako iweje.

Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?
γ€½οΈŽ Teknolojia

unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.

Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
❀1
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨UMESIKIA YA INFINIX?

Kampuni ya Infinix wanampango wa kuja na simu mpya infinix note 50s 5G+.
Simu inakuja na uwezo wa kutoa harufu (smelling) ya manukato.

Simu hii itakuwa na teknolojia ya harufu iitwayo "scent-tech".
Inatarajiwa kuzinduliwa nchini India tarehe 18 Aprili.
πŸ‘1