Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Step 06: sehemu ya ku type andika "Turn this into studio ghibli style" press mshale apo kuruhusu i generate.
︎ Teknolojia

Step 08: Picha ishakuwa tiari sasa🔥
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

Step 05: Gusa picha unayotaka ku generate itapanda yenyewe kwenye sehemu ya ku type
︎ Teknolojia

𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗨𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗚𝗣𝗧

Je unapenda kubadilisha Picha yako kuwa Katuni kwa urahisi kupitia simu yako hapa tunazungumzia professional cartoon 😋

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow
@Bongotech255
@Huduma

🔅 Studio Ghibli
🔅 Dragon Ball Z
🔅 Pixal
🔅 SimpSons
🔅 Minecraft
🔅 LEGO
🔅 Tim Burton
🔅 Original Photo
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote 😋

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote
@Huduma

💭Najua wengi wanasema wanatumia sijui adobe Photoshop, cartoon maker, adobe Xd kubadilisha Picha zako kuwa Katuni

Hapana 👎🏾, ebu angalia picha kama hii.... Unahitaji kubadilisha kuwa Katuni sio 😊
@Huduma

📡 Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kisha andila prompt unayopenda picha yako iweje.

Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?
︎ Teknolojia

unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.

Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
1