γ½οΈ Teknolojia
Tovuti ya PhoneAqua inaripoti kuwa bei ya Samsung Galaxy Ring nchini Tanzania inaanzia TZS 468,000 hadi TZS 576,000, na wastani wa TZS 531,000.

Bei ya Samsung Galaxy Ring inatofautiana kulingana na soko na eneo.
Kwa mfano, nchini Marekani, bei rasmi ilikuwa $399.
Hata hivyo, katika soko la Tanzania, bei inaweza kuwa tofauti kutokana na kodi, gharama za usafirishaji, na sababu nyingine za kibiashara.

Battery Life na Sensors
Hii pete inakuja na battery yenye uwezo wa kati ya 18mAh hadi 23.5mAh
Inaweza kudumu hadi 7 days kwa full charge! Na ukitaka kuichaji, inakuchukua kama dakika 80 tu kutumia charging case yake. ππ

Imesheheni sensors kibao kama vile:
Accelerometer π
Optical Heart Rate Monitor (PPG) β€οΈ
Skin Temperature Sensors π‘οΈ
Inatumia Bluetooth 5.4 na inafanya kazi na simu zote za Android kuanzia Android 11 na kuendelea.

Miongoni mwa faida za Samsung Galaxy ring:
πΉKuvaa rahisi na haikupi usumbufu.
πΉInadumu muda mrefu kwa chaji moja.
πΉMuundo mzuri na thabiti wa Titanium.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨Ushuhuda ujao ataanza kuona duka la njiwa @Njiwa_Store na tambo la S25 ultra wote tuseme Amina napokeaπ

@Huduma
π¨AMAZON WAPANGA KUINUNUA TIKTOK
Kwendana na fukuto lililopo kati ya Trump na TikTok kutaka iuzwe au ifungiwe.
Tajiri Jeff Bezons wamepeleka offer ya kuinunua TikTok.
Haya yote yanaendelea huku Trump akiendelea na dhumuni lake la kuifungia TikTok nchini Marekani.

Sirin Labs Solarin inabaki kuwa moja ya simu zilizotengeneza historia kwa jaribio lake la kuleta usalama wa hali ya juu kwenye mawasiliano ya simu.
Hata hivyo, masuala ya kimaadili na kiusalama yaliifanya kuwa hatari, hivyo ikabidi ichukuliwe hatua kali za kuizuia.

Lengo kuu lilikuwa kuzuia udukuzi na kufichua taarifa nyeti za mtumiaji kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya encryption.
Simu hii iliuzwa kwa bei ya juu sanaβkaribu dola 14,000

Sababu za Kuondolewa Sokoni
Pamoja na juhudi zote za Sirin Labs kutengeneza simu salama zaidi, Solarin haikupata umaarufu uliokusudiwa. Kwanza, bei yake ya juu iliwafanya wengi kuiona kama bidhaa ya kifahari badala ya zana ya lazima ya usalama.

Kwa sababu ya hatari ya teknolojia hii kuwa mikononi mwa watu wasiofaa, baadhi ya nchi ziliamua kuipiga marufuku au kuiweka chini ya uangalizi maalum.
Hili lilisababisha kushuka kwa mauzo na hatimaye Sirin Labs kuacha kutengeneza Solarin.

simu ilihama moja kwa moja kutoka hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya ulinzi mkali wa mawasiliano.

Baadhi ya wataalamu wa usalama waliona uzinduzi wa Solarin kama hatua kubwa mbele katika usalama wa mawasiliano, lakini pia kama kengele ya hatari kwa sababu teknolojia ya encryption inaweza kutumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa.

π¨SIMU YENYE SCREEN MBILI NYUMA NA MBELE
Ulefone imetangaza simu yake mpya ya Armor 30 Pro kama simu ya kwanza duniani yenye skrini mbili yenye uwezo wa kustahimili mazingira magumu (rugged phone).
Inakuja na skrini kamili ya LCD yenye ukubwa wa inchi 3.4 upande wa nyuma ambayo inaonesha kile kinachoonekana kwenye skrini kuu na pia hutumika kama display ya kamera kwa ajili ya kurekodi video, kupiga selfies, na kufanya live streaming kwenye mitandao ya kijamii.

ππ ππͺπππ π§ππ¦πππ’ π¨πππ πͺππ‘ππ¨π‘π π¦ππ¦π ππ ππππ¨ππ πͺπππ ππ¨πͺπ πππ ππ₯π π
Hakika Dunia inakoelekea sio poa Tutaweza kuona Mengi ulimwenguni??
Umeshawahi kufikiria kuhusu Wifi kuwa Kamera nyumbani au ofisini?
Threads ni Yako βπΎ