Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

: Dolby On - Hurekodi sauti kwa ubora wa juu huku ikiondoa kelele.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Hii Morning routine ntafanyia daladala kutoka Mbagala kwenda Kawe😂
︎ Teknolojia

💨Huyu nae katokea wapi😁👇
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI MPYA

▪️Redmi A3x (3+64) - 230K
▪️Redmi A3 (3+64) - 250K
▪️Redmi 13C (8+256) - 359K
▪️Redmi 14C (8+128) - 300K
▪️Redmi 14C (12+128) - 350K
▪️Redmi 14C (16+256) - 380K
▪️Note 13 (8+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro (8+256) - 650K
▪️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
▪️Note 14 (8+256) - 580K
▪️Note 14 5G (8+256) - 750K
▪️Note 14 Pro 4G (8+256) - 780K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -
︎ Teknolojia

Tovuti ya PhoneAqua inaripoti kuwa bei ya Samsung Galaxy Ring nchini Tanzania inaanzia TZS 468,000 hadi TZS 576,000, na wastani wa TZS 531,000.
︎ Teknolojia

Bei ya Samsung Galaxy Ring inatofautiana kulingana na soko na eneo.
Kwa mfano, nchini Marekani, bei rasmi ilikuwa $399.
Hata hivyo, katika soko la Tanzania, bei inaweza kuwa tofauti kutokana na kodi, gharama za usafirishaji, na sababu nyingine za kibiashara.
︎ Teknolojia

Battery Life na Sensors

Hii pete inakuja na battery yenye uwezo wa kati ya 18mAh hadi 23.5mAh
Inaweza kudumu hadi 7 days kwa full charge! Na ukitaka kuichaji, inakuchukua kama dakika 80 tu kutumia charging case yake. 🚀🔋
︎ Teknolojia

Imesheheni sensors kibao kama vile:

Accelerometer 📊

Optical Heart Rate Monitor (PPG) ❤️

Skin Temperature Sensors 🌡️

Inatumia Bluetooth 5.4 na inafanya kazi na simu zote za Android kuanzia Android 11 na kuendelea.
︎ Teknolojia

Miongoni mwa faida za Samsung Galaxy ring:
🔹Kuvaa rahisi na haikupi usumbufu.
🔹Inadumu muda mrefu kwa chaji moja.
🔹Muundo mzuri na thabiti wa Titanium.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Ushuhuda ujao ataanza kuona duka la njiwa @Njiwa_Store na tambo la S25 ultra wote tuseme Amina napokea😁
@Huduma

💨AMAZON WAPANGA KUINUNUA TIKTOK

Kwendana na fukuto lililopo kati ya Trump na TikTok kutaka iuzwe au ifungiwe.

Tajiri Jeff Bezons wamepeleka offer ya kuinunua TikTok.

Haya yote yanaendelea huku Trump akiendelea na dhumuni lake la kuifungia TikTok nchini Marekani.
︎ Teknolojia

Sirin Labs Solarin inabaki kuwa moja ya simu zilizotengeneza historia kwa jaribio lake la kuleta usalama wa hali ya juu kwenye mawasiliano ya simu.

Hata hivyo, masuala ya kimaadili na kiusalama yaliifanya kuwa hatari, hivyo ikabidi ichukuliwe hatua kali za kuizuia.
︎ Teknolojia

Lengo kuu lilikuwa kuzuia udukuzi na kufichua taarifa nyeti za mtumiaji kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya encryption.
Simu hii iliuzwa kwa bei ya juu sana—karibu dola 14,000
︎ Teknolojia

Sababu za Kuondolewa Sokoni

Pamoja na juhudi zote za Sirin Labs kutengeneza simu salama zaidi, Solarin haikupata umaarufu uliokusudiwa. Kwanza, bei yake ya juu iliwafanya wengi kuiona kama bidhaa ya kifahari badala ya zana ya lazima ya usalama.
︎ Teknolojia

Kwa sababu ya hatari ya teknolojia hii kuwa mikononi mwa watu wasiofaa, baadhi ya nchi ziliamua kuipiga marufuku au kuiweka chini ya uangalizi maalum.

Hili lilisababisha kushuka kwa mauzo na hatimaye Sirin Labs kuacha kutengeneza Solarin.
︎ Teknolojia

simu ilihama moja kwa moja kutoka hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya ulinzi mkali wa mawasiliano.
︎ Teknolojia

Baadhi ya wataalamu wa usalama waliona uzinduzi wa Solarin kama hatua kubwa mbele katika usalama wa mawasiliano, lakini pia kama kengele ya hatari kwa sababu teknolojia ya encryption inaweza kutumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa.