Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Apple imeongeza option nyingi katika sehemu ya kuona muhtasari wa notifications
Apple imeongeza option ya Visual Intelligence kwenye button ya Action Button.
Alama za Control Center zitakuwa zinabadilika in-real-time

Mfano signal ikishuka na alama ya Network itakuwa imeshuka
Sasa hivi iPhone zitakuwa na uwezo wa ku-pause app ambayo unai download. Apple imeweka sehemu ya “Pause” na “Resume”
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la Ardhi.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Kampuni kama vile Air Danshin zitaweza kurusha nyumba hewani na kuzirudisha Ardhini kwa haraka baada ya sekunde chach,

Tetemeko la Ardhi kutokes lengo ni kupunguza athari zinazotokana na Majanga ya Asilia.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Katika masuala ya majanga ya asili, Japan inathibitisha kwamba uvumbuzi unaweza kupingana na gravity (mvuto).

Vipi hii teknolojia ikija Tanzania Kuna ubaya 😌
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Teknolojia hiyo itaweza kufanya kazi kupitia mifumo ya Airbag system inayoendeshwa na vitambuzi vya masuala ya Tetemeko Ardhini itaweza kuelea hewani na kuepukana na madhara ya kuhalibiwa.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

𝗝𝗮𝗽𝗮𝗻 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗻𝘆𝘂𝗺𝗯𝗮 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼 𝗽𝗮𝗮 𝗵𝗲𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝘁𝗲𝘁𝗲𝗺𝗲𝗸𝗼 𝗹𝗮 𝗔𝗿𝗱𝗵𝗶

Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu 🙂wanajifanya wanakaza mafuvu.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨Wakati tukisubiri ujio wa Google pixel 10 series.
Kwa taarifa zisizo rasmi huwenda pakawa na Google Pixel 10 Pro Fold's

Unaonaje huu unyama🔥👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 Kumbe inawezekana mtu kupaa ni uvivu wetu tu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 Huu mwaka tutapata tena verse kali kama hii?
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 Tunakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania kwa uaminifu na usalama mkubwa mno.

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 Ile BYD Yangwang U8 ya China inapita kule katikati hata haipepesuki.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

: Grammarly AI - Kusaidia kuandika maandishi yenye sarufi nzuri na ufasaha.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

📝 4️⃣ AI Bora kwa Maandishi na Maudhui
1: ChatGPT Inakuandikia scripts, makala, na content nyingine kwa ufanisi mkubwa.
(Mkombozi wa wanachuo😂)
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

: Notion AI - Inasaidia kuandika na kupanga maudhui kwa haraka.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

: WavePad AI - Bora kwa kurekodi, kuhariri, na kuunganisha sauti.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

:Adobe Podcast AI - Ina zana za kurekebisha sauti na kuifanya kuwa safi na ya kitaalamu.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

: Writesonic - Inatumika kuandika matangazo, makala, na maandishi ya biashara.