🧑💻 〽︎ Teknolojia
Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la Ardhi.

Kampuni kama vile Air Danshin zitaweza kurusha nyumba hewani na kuzirudisha Ardhini kwa haraka baada ya sekunde chach,
Tetemeko la Ardhi kutokes lengo ni kupunguza athari zinazotokana na Majanga ya Asilia.

Katika masuala ya majanga ya asili, Japan inathibitisha kwamba uvumbuzi unaweza kupingana na gravity (mvuto).
Vipi hii teknolojia ikija Tanzania Kuna ubaya 😌

Teknolojia hiyo itaweza kufanya kazi kupitia mifumo ya Airbag system inayoendeshwa na vitambuzi vya masuala ya Tetemeko Ardhini itaweza kuelea hewani na kuepukana na madhara ya kuhalibiwa.

𝗝𝗮𝗽𝗮𝗻 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗻𝘆𝘂𝗺𝗯𝗮 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼 𝗽𝗮𝗮 𝗵𝗲𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝘁𝗲𝘁𝗲𝗺𝗲𝗸𝗼 𝗹𝗮 𝗔𝗿𝗱𝗵𝗶
Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu 🙂wanajifanya wanakaza mafuvu.

💨Wakati tukisubiri ujio wa Google pixel 10 series.
Kwa taarifa zisizo rasmi huwenda pakawa na Google Pixel 10 Pro Fold's
Unaonaje huu unyama🔥👇

💨 Tunakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania kwa uaminifu na usalama mkubwa mno.
📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757