Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Google Meet
📌 Google Meet: Jinsi ya Kuandaa Meeting na Join kuanza Kutumia | Fahamu features Zilizopo🎥🔵

Je, unataka kujua jinsi ya kuunda na kutumia Google Meet kwa ajili ya mikutano yako ya mtandaoni? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:

Kuunda Google Meeting kwa haraka na urahisi
Kutuma link ya mwaliko kwa washiriki
Kutumia zana muhimu ndani ya Google Meet (kamera, maikrofoni, kushiriki skrini, n.k.)
Kudhibiti na kuendesha mkutano
🧑‍💻 @Huduma

💨Muda wa kurudi kwa Tecno sasa

Tecno camon 40 premier🔥🔥
🆕 Downloads za LibreOffice zimeongezeka kwa speed baada ya subscription za Microsoft Office kuongezeka.

Libre Office ni mbadala wa Microsoft Office, ni bure, salama zaidi na open-source, imepata ongezeko la watumiaji milioni 1 kwa kila wiki.
🆕 Bluesky imepata pesa nyingi kwa kuuza fulana za kejeli kuhusu Mark Zuckerberg kwa siku moja kuliko ilivyopata kwa miaka miwili ya kuuza domains.

Inaonekana watumiaji wengi wa Bluesky ni wale wasiopenda mitandao ya Mark na Elon.
🧑‍💻 @Huduma

💨Huu mwaka kugundua simu yako ni mpya tunaangalia kamera
🧑‍💻 @Huduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨 Mimi kwa ninavyoona mtu akitaka kununua gari ajipe miezi 6 ya kufuatilia baada ya hapo ndio anunue.
👍2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Teknolojia Mpya - Roboti Yasaidia Kuondoa Uvimbe Bila Upasuaji!
🔴 ROBOTI YAFANYA HISTORIA TANZANIA – UPASUAJI BILA KISU! 🤯

Teknolojia imepiga hatua kubwa! Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, roboti limetumika katika kuondoa uvimbe kichwani bila upasuaji wa kawaida! 🏥🤖 Hii ni hatua kubwa katika sekta ya tiba na inaonyesha jinsi AI na robotics zinavyobadilisha maisha yetu kwa kasi kubwa.🧐

🔵 Tazama video hii hadi mwisho Kutoka kwa Millard Ayo na share mawazo yako kuhusu maendeleo haya ya kushanga
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

How to use Context Managers in Python Tutorial
In today's video we're going to be learning how you can create your very own custom context managers in Python!

Become job-ready with Python:
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 18.4 kwa watumiaji wote wa iPhone Xr mpaka iPhone 16 zote
iPhone zitakuwa na style mpya ya kuonyesha mic au kamera inatumika
App mpya ya Vision Pro imetoka rasmi kwa watumiaji wa Vision Pro
Sasa watumiaji wa iPhone wamepata rasmi emoji mpya za mwaka huu.

Emoji mpya ni koleo, kinubi, uso wa kuchoka, alama ya kidole, doa na beetroot.
Apple imeongeza button mpya za Ambient Music, na shortcuts za akili bandia ya Apple Intelligence.
Apple imeongeza option nyingi katika sehemu ya kuona muhtasari wa notifications
Apple imeongeza option ya Visual Intelligence kwenye button ya Action Button.
Alama za Control Center zitakuwa zinabadilika in-real-time

Mfano signal ikishuka na alama ya Network itakuwa imeshuka