Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JIFUNZE NAMNA YA KUTOFAUTISHA LINK FAKE NA LINK ORIGINALπŸ›‘οΈ

Phishing ni mbinu ya wadukuzi ya kukusanya taarifa zako kwa kutumia link bandia zinazofanana na zile za tovuti halali.

Kuelewa jinsi ya kuzitambua ni hatua muhimu ya kujilinda mtandaoni.

ShukaπŸ§΅πŸ‘‡
πŸ‘1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Google Meet
πŸ“Œ Google Meet: Jinsi ya Kuandaa Meeting na Join kuanza Kutumia | Fahamu features ZilizopoπŸŽ₯πŸ”΅

Je, unataka kujua jinsi ya kuunda na kutumia Google Meet kwa ajili ya mikutano yako ya mtandaoni? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:

βœ… Kuunda Google Meeting kwa haraka na urahisi
βœ… Kutuma link ya mwaliko kwa washiriki
βœ… Kutumia zana muhimu ndani ya Google Meet (kamera, maikrofoni, kushiriki skrini, n.k.)
βœ… Kudhibiti na kuendesha mkutano
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Muda wa kurudi kwa Tecno sasa

Tecno camon 40 premierπŸ”₯πŸ”₯
πŸ†• Downloads za LibreOffice zimeongezeka kwa speed baada ya subscription za Microsoft Office kuongezeka.

Libre Office ni mbadala wa Microsoft Office, ni bure, salama zaidi na open-source, imepata ongezeko la watumiaji milioni 1 kwa kila wiki.
πŸ†• Bluesky imepata pesa nyingi kwa kuuza fulana za kejeli kuhusu Mark Zuckerberg kwa siku moja kuliko ilivyopata kwa miaka miwili ya kuuza domains.

Inaonekana watumiaji wengi wa Bluesky ni wale wasiopenda mitandao ya Mark na Elon.
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Huu mwaka kugundua simu yako ni mpya tunaangalia kamera
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mimi kwa ninavyoona mtu akitaka kununua gari ajipe miezi 6 ya kufuatilia baada ya hapo ndio anunue.
πŸ‘2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Teknolojia Mpya - Roboti Yasaidia Kuondoa Uvimbe Bila Upasuaji!
πŸ”΄ ROBOTI YAFANYA HISTORIA TANZANIA – UPASUAJI BILA KISU! 🀯

Teknolojia imepiga hatua kubwa! Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, roboti limetumika katika kuondoa uvimbe kichwani bila upasuaji wa kawaida! πŸ₯πŸ€– Hii ni hatua kubwa katika sekta ya tiba na inaonyesha jinsi AI na robotics zinavyobadilisha maisha yetu kwa kasi kubwa.🧐

πŸ”΅ Tazama video hii hadi mwisho Kutoka kwa Millard Ayo na share mawazo yako kuhusu maendeleo haya ya kushanga
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

How to use Context Managers in Python Tutorial
In today's video we're going to be learning how you can create your very own custom context managers in Python!

β–Ά Become job-ready with Python:
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 18.4 kwa watumiaji wote wa iPhone Xr mpaka iPhone 16 zote
iPhone zitakuwa na style mpya ya kuonyesha mic au kamera inatumika
App mpya ya Vision Pro imetoka rasmi kwa watumiaji wa Vision Pro
Sasa watumiaji wa iPhone wamepata rasmi emoji mpya za mwaka huu.

Emoji mpya ni koleo, kinubi, uso wa kuchoka, alama ya kidole, doa na beetroot.
Apple imeongeza button mpya za Ambient Music, na shortcuts za akili bandia ya Apple Intelligence.
Apple imeongeza option nyingi katika sehemu ya kuona muhtasari wa notifications