Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸš€ Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

HUYU NDO MBWA GHALI DUNIANI KULIKO ROLLS ROYCE YA DIAMOND PLATINUM 🐺

Hakika Dunia Ina mambo umeshawahi kuona Mbwa ana Thamani Kuliko Gari la Lamborghini ya Davido au Rolls Royce ya Diamond platnum 😏

Threads ni yako ⚑
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

⚑ Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi ulimwenguni baada ya kuuzwa nchini India kwa rekodi ya Dola $5.7 milioni
πŸ†• Microsoft itasitisha matumizi ya programu yake ya Remote Desktop katika kompyuta zote za Windows kuanzia tarehe 27 Mei, 2025

Watumiaji watapaswa kuhamia kwenye app mpya ya Windows app ili kuendelea kufikia huduma kama Windows 365, Azure Virtual Desktop, na Microsoft Dev Box
Kuanzia Mei itabidi kutumia app ya Windows App ambayo lazima mtu awe anatumia kompyuta ambayo imeunganishwa katika akaunti moja.

Hatua hii inaonyesha Microsoft kuelekea huduma za cloud services.

Hapa kama unatumia Windows feki kitaeleweka!!
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

. Uchanganuzi wa Matumizi na Usalama
Android:
πŸ”ΉWatu wengi huweka data nyingi, na matumizi ya memory ni muhimu kwa ajili ya kuwezesha matumizi ya huduma za cloud, applications za multimedia, na mipangilio mingi ya customization.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉBackground Processes:
Android inaruhusu programu kufanya kazi nyuma ya skrini zaidi, na hivyo RAM zaidi inahitajika ili kuhakikisha kuwa simu haiweki na "lag".

iOS:
πŸ”ΉiOS inaweka mipaka na kudhibiti shughuli za programu zilizomo nyuma,
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉEcosystem Control: Apple ina ulinzi mkubwa wa ekosistemi, hivyo inaboresha kila kipengele ili kuhakikisha utendaji mzuri bila kuhitaji RAM nyingi.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

iOS:
πŸ”ΉApple inazingatia usalama na usahihi wa data, na kwa kutumia RAM ndogo lakini bora, inaunda simu yenye ufanisi wa hali ya juu na ulinzi wa data.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉCustomization: Faida ya Android ni uwezo wa kubadilisha na kuongeza vipengele vya hardware, ambavyo mara nyingi vinahitaji RAM kubwa ili kufanya kazi vizuri.
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Kuna swali hapa nani ka copy kwa mwingineπŸ‘‡
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

RT @bohny_chengula: Saivi kwenye simu wengi wanakopiana, japo wengi wamemkopi iPhone, sio kampuni moja, mengi.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kesho niwape Morning routine yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

how to install 6KW Off Grid Inverter Energy Storage System, Complete installation, ROYPOW
A comprehensive guide demonstrating how to connect and configure a powerful home battery system with solar panels for reliable energy storage. This detailed walkthrough covers essential back up power setup techniques and safety considerations for an off grid installation. Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.
To order the product f
πŸ“ Taarifa rasmi