Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 04: Samsung Galaxy S25 ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 09: Samsung A55
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 06: Xiaomi poco F7 Ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 01: Samsung Galaxy A56
🧑‍💻 @Huduma

💨 Concept ya Nothing CMF Phone2
🧑‍💻 @Huduma

💨 Nani katisha zaidi

Samsung S25 Ultra Oppo Find X8 Pro
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🔅 Aliweza kumnunua mbwa Huyo iliaweze kumfanya kuwa mbwa wa kipekee na kivutio nchini India. Hapo awali alitumia $3.25 milioni kununua Chow Chow adimu na ana zaidi ya mbwa 150.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🐺 Uzazi huu wa kipekee ukiwa na mchanganyiko wa mbwa jamii ya Wolf Dog na Caucasian Shepherd ambao haujawahi kuuzwa hapo awali.

Kuna mfugaji wa mbwa maarufu nchini India anaitwa Sathish ni mtu anayejulikana kwa kununua mifugo adimu ulimwenguni.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Mali za Sathish Kuna kwa ajili ya kufuga mbwa na timu iliyojitolea inayotunza mbwa wake wa thamani. Pia anapata hadi $2,800 kwa nusu saa kwa kuonyesha mifugo yake adimu.

Sio mchezo ulimwenguni vitu vingi ni fursa 🚀

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali @Bongotech255
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🚀 Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

HUYU NDO MBWA GHALI DUNIANI KULIKO ROLLS ROYCE YA DIAMOND PLATINUM 🐺

Hakika Dunia Ina mambo umeshawahi kuona Mbwa ana Thamani Kuliko Gari la Lamborghini ya Davido au Rolls Royce ya Diamond platnum 😏

Threads ni yako
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi ulimwenguni baada ya kuuzwa nchini India kwa rekodi ya Dola $5.7 milioni
🆕 Microsoft itasitisha matumizi ya programu yake ya Remote Desktop katika kompyuta zote za Windows kuanzia tarehe 27 Mei, 2025

Watumiaji watapaswa kuhamia kwenye app mpya ya Windows app ili kuendelea kufikia huduma kama Windows 365, Azure Virtual Desktop, na Microsoft Dev Box
Kuanzia Mei itabidi kutumia app ya Windows App ambayo lazima mtu awe anatumia kompyuta ambayo imeunganishwa katika akaunti moja.

Hatua hii inaonyesha Microsoft kuelekea huduma za cloud services.

Hapa kama unatumia Windows feki kitaeleweka!!
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

. Uchanganuzi wa Matumizi na Usalama
Android:
🔹Watu wengi huweka data nyingi, na matumizi ya memory ni muhimu kwa ajili ya kuwezesha matumizi ya huduma za cloud, applications za multimedia, na mipangilio mingi ya customization.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🔹Background Processes:
Android inaruhusu programu kufanya kazi nyuma ya skrini zaidi, na hivyo RAM zaidi inahitajika ili kuhakikisha kuwa simu haiweki na "lag".

iOS:
🔹iOS inaweka mipaka na kudhibiti shughuli za programu zilizomo nyuma,
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🔹Ecosystem Control: Apple ina ulinzi mkubwa wa ekosistemi, hivyo inaboresha kila kipengele ili kuhakikisha utendaji mzuri bila kuhitaji RAM nyingi.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

iOS:
🔹Apple inazingatia usalama na usahihi wa data, na kwa kutumia RAM ndogo lakini bora, inaunda simu yenye ufanisi wa hali ya juu na ulinzi wa data.