Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Unataka Kujifunza Programming? Mambo 5 Yakuzingatia Unapoanza (Self made Programmer)
🚀 Jinsi ya Kujifunza Coding Haraka na Kuwa Mtaalamu💻🔥

Unataka kujifunza coding/programming lakini hujui wapi pa kuanzia? Hakuna tatizo! Katika video hii, nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuanza safari yako ya kuwa developer bila kuchanganyikiwa. 🎯

Utagundua:
✔️ Sababu muhimu za kujifunza programming.
✔️ Lugha bora ya kuanza nayo kama beginner.
✔️ Websites na rasilimali bora za kujifunza bure.
✔️ Jinsi y
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 05: Google pixel 9a
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

💨Hapa kuna simu 10 bora zilizotrend wiki 11.

Source: GSMArena

Rank 10: Realme P3 Ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 03: Huawei pura X
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 08: Xiaomi Poco X7 pro
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 02: Infinix Note 50 pro+
👍1
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 07: Samsung A36
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 04: Samsung Galaxy S25 ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 09: Samsung A55
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 06: Xiaomi poco F7 Ultra
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Rank 01: Samsung Galaxy A56
🧑‍💻 @Huduma

💨 Concept ya Nothing CMF Phone2
🧑‍💻 @Huduma

💨 Nani katisha zaidi

Samsung S25 Ultra Oppo Find X8 Pro
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🔅 Aliweza kumnunua mbwa Huyo iliaweze kumfanya kuwa mbwa wa kipekee na kivutio nchini India. Hapo awali alitumia $3.25 milioni kununua Chow Chow adimu na ana zaidi ya mbwa 150.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🐺 Uzazi huu wa kipekee ukiwa na mchanganyiko wa mbwa jamii ya Wolf Dog na Caucasian Shepherd ambao haujawahi kuuzwa hapo awali.

Kuna mfugaji wa mbwa maarufu nchini India anaitwa Sathish ni mtu anayejulikana kwa kununua mifugo adimu ulimwenguni.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Mali za Sathish Kuna kwa ajili ya kufuga mbwa na timu iliyojitolea inayotunza mbwa wake wa thamani. Pia anapata hadi $2,800 kwa nusu saa kwa kuonyesha mifugo yake adimu.

Sio mchezo ulimwenguni vitu vingi ni fursa 🚀

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali @Bongotech255
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

🚀 Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.