Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿšจ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zimezuia huduma za Brave Browser

Hii ni habari mbaya kwa watumiaji ambao wanatumia Brave kwa matumizi ya kuboresha usalama wa kuperuzi mitandaoni, kuzuia data zao zisikusanywe, ku-block ads na trackers.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!.

๐Ÿ’‡๐Ÿพ Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kujifunza zaidi โœ…
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

James Munisi

Je kipi ni bora zaidi?

๐Ÿ“Œ Kama unatumia Apple iPhone (TrueDepth Face ID) โ€“ Face ID ni salama zaidi.
๐Ÿ“Œ Kama unatumia Android flagship (Samsung S25 Ultra, Google Pixel 8 Pro) โ€“ Ultrasonic fingerprint scanner ni chaguo bora.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad ๐Ÿ˜ƒ, God of War iliweza kuachiwa.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

God of War ni. Game la mapigano la Action Adventure ambayo iliundwa na kampuni ya SantaMonicaStudio

kwa kushirikiana na kampuni ya Ma games ulimwenguni Sony. Mara ya kwanza iliweza kuachiwa kwa watumiaji wa Playstation 2.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

UMESHAWAHI KUCHEZA GAME LA GOD OF WAR ?? โšก

Unajua Game la God of War mara ya Kwanza iliachiwa Mwaka Gani ? ๐Ÿ˜‰

Threads ni yako Moja wapo ya Game pendwa ulimwenguni โœ…
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ilikua Machi 22, 2005, Kampuni hiyo ya Santa wanasherekea miaka 20 ya God of War toka kuachiwa kwake mpaka leo hii.

Umeshawahi kucheza hii Game ? Je Game Gani ya God of War unaipenda ? Tuachie maoni yako?

Angalia video zake ๐Ÿค
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จMmiliki wa hii kinywaji kufikia kesho atashtuka sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Ilipoanzia cheki hizo impressions zimefika zaidi ya 500,000,000 kwa hapa X

Inashangaza sana
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

RT @raphyrodrick: Americans haswa content creators wanavikuza sana , ๐Ÿ˜‚
@Huduma

๐Ÿ’จNani atauza sana wiki hii
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

โœ… Chagua My Contacts Except... kisha weka tiki kwa wale wote usiotaka wakutumie mwaliko wa kujiunga na makundi. Hii itakupa control kamili!
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Hatua za Kufanya Hili:
1๏ธโƒฃ Nenda kwenye Settings
2๏ธโƒฃ Chagua Storage and Data
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๏ธโƒฃ Kwenda sehemu ya Media Auto-Download
4๏ธโƒฃ Chagua Wi-Fi au Mobile Data kisha toa alama ya tiki kwenye picha, video na documents.

Hii itazuia WhatsApp kupakua media moja kwa moja, hasa kutoka kwenye groups usiyoyataka.