Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

2200W Portable Solar Power Station, Perfect for Power Outages!
The VTOMAN Jump 2200 Portable Power Station is a versatile and reliable energy solution, perfect for power outages, outdoor adventures, and emergencies. With a robust 2200W output capacity, it can power multiple devices simultaneously, including appliances, electronics, and tools. Equipped with a high-capacity lithium battery, it offers long-lasting performance and features multiple ports for versatility. Compact, portable, and easy
๐Ÿ†• Akili bandia ya Grok imeweka sehemu ya ku-edit picha โœ๏ธ
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†•๐ŸŽฌ Movies mpya za kufuatilia

๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kuandika, Kupanga, na kufomat Maandishi Ndani ya Table (Sehemu 2)
Karibu kwenye sehemu ya pili ya mwongozo wa kutengeneza table katika MS Word! Katika video hii, tunaendelea kujifunza jinsi ya kuandika, kupanga, na kufomat maandishi ndani ya meza (table) ili yawe nadhifu, yanasomeka vizuri, na yanaonekana kitaalamu.

โœ… Mambo utakayojifunza katika video hii:
โœ”๏ธ Jinsi ya kuandika maandishi ndani ya table kwa usahihi
โœ”๏ธ Kupanga maandishi ndani ya cells (Alignment & Text Direction)
โœ”๏ธ Jinsi
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!.

๐Ÿ’‡๐Ÿพ Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Usisahau kutu follow kujifunza zaidi โœ…
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.