Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Rudisha Tab Uliyofunga Bila Kukusudia Kwenye Browser Yako
๐Ÿ”„ Jinsi ya Kurejesha Tab Uliyofunga Kimakosa | Restore a Closed Browser Tab Instantly

Je, umewahi kufunga tab kwenye browser yako kwa makosa na unahitaji kuirejesha haraka? ๐Ÿ˜ฑ Usijali! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kurejesha tab iliyofungwa kwa sekunde chache kwenye browser yako, bila kutumia programu za ziada. ๐Ÿš€

โœ… Utaweza kujifunza:
โœ”๏ธ Jinsi ya kurejesha tab iliyofungwa kwenye Google Chrome, Firefox, na Microsoft Edge.
โœ”๏ธ Nji
๐Ÿšจ Bado kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanachoma magari ya Tesla nchini Marekani
Mwonekano wa simu mpya ya OnePlus 13T (mini)

Inaelekea kufanana na simu gani? ๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿค”1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

2200W Portable Solar Power Station, Perfect for Power Outages!
The VTOMAN Jump 2200 Portable Power Station is a versatile and reliable energy solution, perfect for power outages, outdoor adventures, and emergencies. With a robust 2200W output capacity, it can power multiple devices simultaneously, including appliances, electronics, and tools. Equipped with a high-capacity lithium battery, it offers long-lasting performance and features multiple ports for versatility. Compact, portable, and easy
๐Ÿ†• Akili bandia ya Grok imeweka sehemu ya ku-edit picha โœ๏ธ
๐Ÿ‘1
๐Ÿ†•๐ŸŽฌ Movies mpya za kufuatilia

๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jinsi ya Kuandika, Kupanga, na kufomat Maandishi Ndani ya Table (Sehemu 2)
Karibu kwenye sehemu ya pili ya mwongozo wa kutengeneza table katika MS Word! Katika video hii, tunaendelea kujifunza jinsi ya kuandika, kupanga, na kufomat maandishi ndani ya meza (table) ili yawe nadhifu, yanasomeka vizuri, na yanaonekana kitaalamu.

โœ… Mambo utakayojifunza katika video hii:
โœ”๏ธ Jinsi ya kuandika maandishi ndani ya table kwa usahihi
โœ”๏ธ Kupanga maandishi ndani ya cells (Alignment & Text Direction)
โœ”๏ธ Jinsi