🧑💻 〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🎧🛜
⚡lazima uwe umetimiza miaka 25 hii ni kuamini kuwa mtu anayemiliki silaha ni mtu mzima pia ana Uwezo wa kufanya maamuzi ya busara.
⚡lazima uwe na Ujuzi wa kutumia silaha ni kama mtihani lazima ujue jinsi ya kutumia kwa usalama na nia njema.

⚡lazima uwe raia mtanzania au uwe na kibali cha ukaazi wa kudumu
⚡lazima uwe na akili timamu pia mtu ambaye sie mgomvi.
⚡usiwe mtumiaji wa dawa za kulevya
⚡usiwe na rekodi ya mtu aliyefanya uhalifu
⚡usiwe na ulemavu wa akili au uzembe

🧑💻 @Huduma
bongotech2⁵5🎮🎧🛜
Pia sheria imezungumzia watu wengine wenye Uwezo wa kumiliki silaha ni wanaowalinda viongozi,watalii wa uwindaji,maafisa wanaosindikiza wafungwa.
Sogeza picha kuangalia zaidi 💡

RT @TOTTechs: Moja ya series bora sana kutoka Samsung, miaka 6 iliyopita.
Galaxy S10+
Galaxy Note 10+

👍1
🧑💻 〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🎧🛜
Jitahidi umiliki passport ya Kitanzania ili Uweze kusafiri kwenye nchi zaidi ya 47 ambazo ukifanikiwa kwenda basi utaweza kwenda Bila Visa Free 😉.