Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

𝗨𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝗺𝗶𝗹𝗶𝗸𝗶 𝘀𝗶𝗹𝗮𝗵𝗮

Najua watu wengi wanatamani kuweza kumiliki silaha yani mtu awe nayo kama msaada kwenye kujilinda na masuala mbalimbali lakini je unaweza kumiliki silaha?

Thread ni Yako 💡
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Kwanza kumbuka maelezo ninayokupa ni kukupatia Elimu kuhusu masuala ya kumiliki silaha kihalali. Jambo muhimu zaidi kwenye sheria ya umilikaji wa silaha inaweza kubadilika hivyo ni muhimu kutembelea mamlaka husika kupata taarifa zaidi.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Wengi wanatamani kumiliki silaha lakini Kuna taratibu zake za kufuata ili uweze kuwa mtu mmoja wapo mwenye Uwezo wa kumiliki silaha. Kupitia kifungu namba 11 cha sheria za umiliki na usimamizi wa silaha ya mwaka 2015 imetaja sifa za mtu atayeweza kumiliki silaha nchini Tanzania;
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

lazima uwe umetimiza miaka 25 hii ni kuamini kuwa mtu anayemiliki silaha ni mtu mzima pia ana Uwezo wa kufanya maamuzi ya busara.

lazima uwe na Ujuzi wa kutumia silaha ni kama mtihani lazima ujue jinsi ya kutumia kwa usalama na nia njema.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

lazima uwe raia mtanzania au uwe na kibali cha ukaazi wa kudumu
lazima uwe na akili timamu pia mtu ambaye sie mgomvi.
usiwe mtumiaji wa dawa za kulevya
usiwe na rekodi ya mtu aliyefanya uhalifu
usiwe na ulemavu wa akili au uzembe
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Pia sheria imezungumzia watu wengine wenye Uwezo wa kumiliki silaha ni wanaowalinda viongozi,watalii wa uwindaji,maafisa wanaosindikiza wafungwa.

Sogeza picha kuangalia zaidi 💡
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

RT @TOTTechs: Moja ya series bora sana kutoka Samsung, miaka 6 iliyopita.

Galaxy S10+
Galaxy Note 10+
👍1
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

10
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

8
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

6
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

9
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Jitahidi umiliki passport ya Kitanzania ili Uweze kusafiri kwenye nchi zaidi ya 47 ambazo ukifanikiwa kwenda basi utaweza kwenda Bila Visa Free 😉.
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

3
🧑‍💻 @Huduma

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

5