Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Tunaita a lunar eclipse (kupatwa kwa Mwezi) hutokea pale Dunia inapojiweka yenyewe kati kati ya Jua na Mwezi kuzuia mwanga wa jua na kuweka kivuli juu ya uso wa mwezi.

Mtindo huu utokea kwa Namna Tatu;
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Siku ya Leo Usiku ndo ile siku tunaweza sema ni "The Night sky is delivery rare spectacle" tunaweza sema Anga ya Usiku ni tamasha adimu sana ndugu msomaji๐Ÿฅฐ.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Inakuwaje unabadilika Mwezi ๐ŸŒ“ kuwa Mwekundu!!!
Wakati wa kupatwa kamili kwa mwezi, mwezi hubadilika kuwa nyekundu au machungwa. Mwangaza wa jua pekee unaofika mwezini lazima kwanza upite kwenye angahewa ya Dunia kisha mwezi ndo unabadilika sasa.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐— ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐—ช๐—” ๐——๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ผ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ!!

Usipitwe na Tukio Adimu Leo ukilikosa mpaka mwaka 2041 ๐Ÿ˜‰

Threads ni yako ๐Ÿค๐Ÿ˜€
๐Ÿ‘1
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Kupatwa kamili kwa mwezi:
Mwezi unakua kabisa kwenye kivuli cha Dunia na unakuwa na rangi nyekundu.

๐Ÿ’จ Kupatwa kwa mwezi kwa kiasi (partial lunar eclipse) Hutokea wakati kivuli cha Dunia kinafunika sehemu ya mwezi mzima.Kivuli kinapanuka na kisha kurudi nyuma.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Ni mwezi kupatwa na kuwa na Rangi Nyekundu Tukio ili litatokea machi 14 - 15, 2025 Mwezi utaweza kubadilika na kuwa mwekundu kama Shaba. Kupatwa huku kutashuhudiwa Duniani.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐Ÿ’จ Kupatwa kwa mwezi kwa Penumbral โ€“ ni Tukio hafifu ambapo mwezi hupita kwenye kivuli cha nje cha Dunia, kinachojulikana kama penumbra. Mwezi unaonekana hafifu kuliko kawaida.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Wakati Dunia inaposonga kati ya Jua na Mwezi, basi Leo tutaweza kushuhudia Tukio la Kushangaza La Mwezi kubadilika na kuwa Rangi Nyekundu (kivuli kikubwa cha rangi Nyekundu).
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Tukio ili litaweza kuonekana live ulimwenguni kote au sio ulimwenguni Kote lakini Nchi za magharibi zitaweza kushuhudia Tukio ili, Kaskazini na kusini mwa nchi za afrika na ulaya kwa ujumla (Asia, Afrika na European).

Litadumu masaa 5 na dakika 5 โœ…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Check Your Windows Version and System Information (Quick & Easy Guide)
๐Ÿ–ฅ๏ธ Wondering what version of Windows you're running? Or need to find your systemโ€™s specs? In this video, Iโ€™ll show you two simple methods to check your Windows version and detailed system information in just a few clicks.

๐Ÿš€ What Youโ€™ll Learn:
โœ”๏ธ How to check Windows version via Settings
โœ”๏ธ How to use the winver command to find your version
โœ”๏ธ How to find detailed system information including CPU, RAM, and more!

๐Ÿ“Œ Rel
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ต๐—ฎ

Najua watu wengi wanatamani kuweza kumiliki silaha yani mtu awe nayo kama msaada kwenye kujilinda na masuala mbalimbali lakini je unaweza kumiliki silaha?

Thread ni Yako ๐Ÿ’ก
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Kwanza kumbuka maelezo ninayokupa ni kukupatia Elimu kuhusu masuala ya kumiliki silaha kihalali. Jambo muhimu zaidi kwenye sheria ya umilikaji wa silaha inaweza kubadilika hivyo ni muhimu kutembelea mamlaka husika kupata taarifa zaidi.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Wengi wanatamani kumiliki silaha lakini Kuna taratibu zake za kufuata ili uweze kuwa mtu mmoja wapo mwenye Uwezo wa kumiliki silaha. Kupitia kifungu namba 11 cha sheria za umiliki na usimamizi wa silaha ya mwaka 2015 imetaja sifa za mtu atayeweza kumiliki silaha nchini Tanzania;
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

โšกlazima uwe umetimiza miaka 25 hii ni kuamini kuwa mtu anayemiliki silaha ni mtu mzima pia ana Uwezo wa kufanya maamuzi ya busara.

โšกlazima uwe na Ujuzi wa kutumia silaha ni kama mtihani lazima ujue jinsi ya kutumia kwa usalama na nia njema.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

โšกlazima uwe raia mtanzania au uwe na kibali cha ukaazi wa kudumu
โšกlazima uwe na akili timamu pia mtu ambaye sie mgomvi.
โšกusiwe mtumiaji wa dawa za kulevya
โšกusiwe na rekodi ya mtu aliyefanya uhalifu
โšกusiwe na ulemavu wa akili au uzembe
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป @Huduma

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Pia sheria imezungumzia watu wengine wenye Uwezo wa kumiliki silaha ni wanaowalinda viongozi,watalii wa uwindaji,maafisa wanaosindikiza wafungwa.

Sogeza picha kuangalia zaidi ๐Ÿ’ก
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

RT @TOTTechs: Moja ya series bora sana kutoka Samsung, miaka 6 iliyopita.

Galaxy S10+
Galaxy Note 10+
๐Ÿ‘1