Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Unakumbuka kipindi Cha Nabii Suleiman alikua na Uwezo wa kusafiri toka nchi moja kwenda nyingine kupitia kufumba macho na kufumbua tuโœ….

Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye Maisha ya Binadamu ๐Ÿ˜Œ.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Unasemaje inawezekana ๐Ÿ˜‰ tuachie maoni yako? Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili ๐Ÿ”†
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฒ๐Ÿฌ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ

Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu ๐Ÿ˜ณ

Threads ni yako
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป <a href='https://t.me/Huduma'> ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia </a>

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Watu walikua na uwezo wa kuingia chumba Fulani mahali na kutoweka kwa haraka hadi eneo la mbali limevutia sasa wanasayansi wanataka kuileta kwenye Maisha ya Uwalisia.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Shukrani kwa maendeleo ya Quantum pizikia (physics) Teknolojia hii itaweza kuwa mustakabali wa kuweza kusafirisha Mtu mahali popote duniani kwa sekunde kadhaa tu

iwe kwa madhumuni ya kuabudu, kupatiwa matibabu, usafiri kisayansi kupitia kufikiria tu utaweza kusonga Angani.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป <a href='https://t.me/Huduma'> ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia </a>

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Lakini vipi ikiwa ndoto hiyo iko karibu kuliko tunavyofikiri? Kufikia 2060, maendeleo ya Teknolojia inaweza kuwa zaidi ya ndoto tu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐ŸŽฌ Unitree Robotics imezindua roboti ya binadamu G1 yenye uwezo wa ajabu wa kung-fu ๐Ÿฅ‹๐Ÿค–
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

141. Two-Dimensional Lists | Jifunze Python kwa Hatua kwa Hatua
Katika video hii ya 141 ya kozi yetu ya Python, tutajifunza kuhusu Two-Dimensional Lists. Utajifunza jinsi ya kuunda, kufikia, na kudhibiti data ndani ya 2D lists kwa kutumia Python. Hii ni muhimu kwa data inayopangwa katika row na column, kama vile table au matrices.

๐Ÿ”ฅ Mambo Utakayojifunza:
โœ… Jinsi ya kuunda 2D lists katika Python
โœ… Namna ya kufikia value ndani ya nested lists
โœ… Kupitia (iterate) 2D lists kwa kutumia loops
โœ… Mifan
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Python's Partial Functions in 60 Seconds
Partial functions explained in under 60 seconds in Python.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Inasemekana mpaka kufikia mwaka 2078 Games za Playstation utaweza kuunganisha na mwili wako na kucheza moja moja kwenye game kama muhusika mkuu ambapo watu wateza kujiunganisha kupitia mfumo wa orbs.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo linaloonyesha jinsi Playstation itavyokuwa miaka ijayo.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

๐— ๐—ช๐—”๐—ž๐—” ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿด ๐—š๐—”๐— ๐—˜ ๐—ญ๐—” ๐—ฃLAYSTATION ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—จ๐—” ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐——๐—”๐— ๐—จ

Inasemekana mwaka 2078 kwenye game za Playstation muhusika utakua nwenyewe mchezaji ๐Ÿ˜ฑ

Threads ni yako

Repost like & follow
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ

Mfano Labda games ya GTA

Angalia video yake

๐Ÿ“ utaweza kuvaa kujiona wewe muhusika live na kuweza kucheza games pia inasemekana games miaka ijayo itakupa uwezo wa kutoa pesa utazozipata kwenye games kuzileta maisha uhalisia miaka hiyo 2078 tuombe uzima TU๐Ÿ˜.