Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

🔆 Teknolojia hii Infinix wameiita Solar energy Reserving Technology , hutumia seli za jua za Perovskite ambazo ni nyembamba kuweza kuzalisha seli ambazo inasaidia kuthibiti voltage.
🆕 WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka sehemu ya kutengeneza picha za Groups kwa kutumia AI.

Watumiaji wanaweza kuandika maelezo ya picha wanayoitaka, na AI itatengeneza picha hiyo na itaweza kutumika katika sehemu ya profile picture ya group (group icon).
Tetesi mpya za mockup mpya ya iPhone za mwaka huu zinaonyesha kuwa iPhone 17 Pro Max itakuwa nene zaidi kuliko iPhone 16 Pro Max.

Pia inasemekana, iPhone 17 Pro zitakuwa na kamera kubwa ya mstatili yenye kingo za mviringo, huku lenzi za nyuma zitakuwa kwa mtindo wa pembetatu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

How to Change Font and Adjust Font Size in MS Word (Swahili)
Karibu kwenye tutorial hii ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kubadili font na kuongeza au kupunguza ukubwa wa maandishi katika MS Word. Kujua jinsi ya kufanya hivi kutakusaidia kuboresha muonekano wa hati zako kwa njia ya kitaalamu.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Wanasayansi wako kwenye Utafiti wa kuleta Teknolojia mpya inaitwa Teleportation, tunaweza sema Ndoto ya baadaye ambapo Mtu ataweza kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Tumekua tukingaalia kwenye movie mbalimbali kama vile, vitabu vya dini, Matrix, star trik na movie zile sci - fi ya wagunduzi kuruka toka sehemu moja kwenda nyingine kupitia kufumba na kufumbua tu macho.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Unakumbuka kipindi Cha Nabii Suleiman alikua na Uwezo wa kusafiri toka nchi moja kwenda nyingine kupitia kufumba macho na kufumbua tu.

Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye Maisha ya Binadamu 😌.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Unasemaje inawezekana 😉 tuachie maoni yako? Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili 🔆
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

𝗠𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟲𝟬 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗮𝗳𝗶𝗿𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗸𝗶𝗿𝗶𝗮 𝘁𝗼𝗸𝗮 𝘀𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗻𝘆𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲

Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu 😳

Threads ni yako
🧑‍💻 <a href='https://t.me/Huduma'> ︎ Teknolojia </a>

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Watu walikua na uwezo wa kuingia chumba Fulani mahali na kutoweka kwa haraka hadi eneo la mbali limevutia sasa wanasayansi wanataka kuileta kwenye Maisha ya Uwalisia.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Shukrani kwa maendeleo ya Quantum pizikia (physics) Teknolojia hii itaweza kuwa mustakabali wa kuweza kusafirisha Mtu mahali popote duniani kwa sekunde kadhaa tu

iwe kwa madhumuni ya kuabudu, kupatiwa matibabu, usafiri kisayansi kupitia kufikiria tu utaweza kusonga Angani.
🧑‍💻 <a href='https://t.me/Huduma'> ︎ Teknolojia </a>

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Lakini vipi ikiwa ndoto hiyo iko karibu kuliko tunavyofikiri? Kufikia 2060, maendeleo ya Teknolojia inaweza kuwa zaidi ya ndoto tu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🎬 Unitree Robotics imezindua roboti ya binadamu G1 yenye uwezo wa ajabu wa kung-fu 🥋🤖
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

141. Two-Dimensional Lists | Jifunze Python kwa Hatua kwa Hatua
Katika video hii ya 141 ya kozi yetu ya Python, tutajifunza kuhusu Two-Dimensional Lists. Utajifunza jinsi ya kuunda, kufikia, na kudhibiti data ndani ya 2D lists kwa kutumia Python. Hii ni muhimu kwa data inayopangwa katika row na column, kama vile table au matrices.

🔥 Mambo Utakayojifunza:
Jinsi ya kuunda 2D lists katika Python
Namna ya kufikia value ndani ya nested lists
Kupitia (iterate) 2D lists kwa kutumia loops
Mifan