Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Roboti huyo anauzwa kwa Dola $16,000 ikiwa na injini 23 mpaka 43 zinazomuwezesha kutembea, kukimbia, kurukaruka,

kupiga ngumi na hata kucheza.

Roboti awa tofauti na wale wa Magharibi kama vile Tesla na optimus Yenyewe G1 Ina uwezo wa kujilinda inapoona hatari mbele yake.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฟ๐—ผ๐—ฏ๐—ผ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฎ

China sasa inazidi kuwa tishio ulimwenguni dhidi ya Teknolojia maana sio kwa kutuletea Roboti ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ anagonga ngumi kama Mohammed Ally โœ…
threads Iko chini
Repost
Like &
follow
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kampuni ya Unitree ya kuunda Roboti aina mbalimbali imeonyesha Roboti mpya aina ya G1 Humanoid yenye uwezo wa kupigana kwa kufundishwa ndani ya dakika 3 na kuweza kufanya Kila kitu kwa usahihi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Angalia video yake โœ๏ธ.....!!!!!
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka 2025.

Inaitwa Xiaomi 15 Ultra ni flagship ambayo imeachiwa 27 Februari 2025 ikiwa feature mbalimbali ndani yake;
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿค Ina Ram ya 16GB na internal storage ya 512GB inayokufanya Hutumie simu bila kuwaza kama itajaa kwa muda mrefu bila kuganda Ganda kutokana na uwezo mkubwa wa Ram iliyopo ndani.

Wifi yake ni kinanda kwani version ya wifi 7 yani wewe suala la intaneti kusumbua utasahau kabisa.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ”‹ Betri lake 5410Mah + 90W fast charging + 80W ya wireless charging

๐Ÿ“ธ Kamera yake ya Nyuma 200mp + 50mp + 50mp yenye kutoa picha Kali balaa.

๐Ÿ“ท Kamera ya mbele ni 50mp

๐Ÿ—ฃ๏ธ IP rating 68
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

Wachina mwaka 2025 wameamua kufanya kweli kwenye Mapinduzi ya simu ๐Ÿ˜

Yani Samsung na Apple watulie kwanza wazee ๐Ÿ—ฃ๏ธ

Threads ni Yenu ๐Ÿ‘‡
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿค– Xiaomi 15 Ultra specs:
๐Ÿš€ processor yake ni Snapdragon 8 Elite processor 4.32 .Mhz octacore.

๐Ÿ”† Android version 15 + HyperOs 2.0

๐Ÿ’ก Display yake Ina 120Hz ikiwa na inchi 6.73 resolution ya 3200 ร— 1440pixels.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Itaanza kusambazwa ulimwenguni kote kuanzia Machi 11 ambapo gharama yake inaanzia TzSh 2.6 milioni/= mpaka TzSh 2.8milioni /=

@Xiaomi
@Bongotech255
@XiaomiUSA
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Lensi yake ni Kali balaa unavuta kitu kwa umbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu wa aina yoyote.

๐Ÿค Uwezo wa kuchaji simu yako ndani ya dakika 20 na kujaa bila kusahau wireless charging ambayo unaweza mrushia Mtu chaji kwa spidi kubwa ndani ya muda machache kufika asilimia 50
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ก CHAKUVUTIA ZAIDI:
๐Ÿค kwenye hii toleo la Xiaomi 15 Ultra ni Simu Bora kwa upande wa Kamera inatoa picha nzuri kuliko toleo jipya la Samsung s25 Series' na Iphone 16 series na kuifanya kuwa simu pendwa yenye Kamera Kali Mwaka huu 2025.
๐Ÿ†• Kuanzia sasa, simu zifuatazo zinaweza kupata mfumo mpya wa One UI 7 Beta

- Galaxy Z Fold 6
- Galaxy Z Flip 6
- Galaxy Tab S10+
- Galaxy Tab S10 Ultra
- Galaxy A55
- Galaxy S23
- Galaxy S23+
- Galaxy S23 Ultra
Mwezi ujao emoji mpya za mwaka huu zitaanza kutoka rasmi kwa watumiaji wa iOS na Android

Emoji ambazo zitaongezeka mwaka huu ni

๐Ÿ”˜ Uso wa kuchoka
๐Ÿ”˜ Alama ya kidole
๐Ÿ”˜ Mti usio na majani
๐Ÿ”˜ Mboga ya mizizi
๐Ÿ”˜ Kinubi
๐Ÿ”˜ Koleo/Beleshi
๐Ÿ”˜ Mchirizi wa majimaji
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿš€ Tukio la kushangaza zaidi ni kuhusu Mwezi utaweza kupatwa na kubadilika kuwa Rangi Nyekundu kama damu ya Mzee ambapo tukio ilo litatokea Mwezi huu Machi Tarehe 14 na 15 , Mwezi utabadilika na kuwa Mwekundu Wote.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ—ฃ๏ธ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.